Wale wacheza kamari CASSINO tukutane hapa

Alafu jomba ’ roullete inalipa mara 36 kwa kila kiasi unachobet kwenye namba moja utakayobet na kupatia, sasa laki moja unapataje milioni 27,

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: naa
Every hand is a winner, and every hand is a looser but INTELIGENCE matters.

Gambling haitegemei BAHATI peke yake, lazima uwe na kichwa chepesi, mwizi, muongo, mhuni, tapeli na KIPAJI pia. Lazima ujue muda gani utupe, muda gani usubiri, muda gani ukimbie mbio nyingi sana.

Nikiwa na miaka 21, nliwahi kumchapa jamaa kwenye POKER Million 9, siku hio hio hakuridhika baada ya kunikuta kwenye POOL TABLE nambaka mtu wash. Akaomba COLLABO ili atleast arudishe hata nusu ya hela yake. Nikagoma kuweka hela nikaomba tuweke bet gari (Hela nlikua nategemea kulipia ada chuo UDSM mwaka wa kwanza, kama week moja iliopita nlipigwa hela ya ada yote pamoja na hela ya kujikimu **Mkopo wa chuo wote, sio wa BOARD**, halafu baada ya week moja tulikua na paper kukamilisha Course Work).

Nlikua nimeenda na mshikaji wangu wa chuo ana Mark II, (Ilikua mbovu kinoma, imepigwa pasi kisawasawa, na kila kona ilikua na milio kama mashine ya kukoboa na kusaga). Jamaa akaweka GX 110 mpya bila hata kuhakikisha gari nlioweka mimi hadhi yake. Yule rafiki yangu nliekua nae alikua kawaka tungi huku akishangilia navochuana kwenye pool table, bila kujua gari yake ndo nimeiweka rehani.

Advantage nliopata jamaa nliecheza nae, alikua anataka kucheza kwa kukamia kisawasawa, so mi nika relax kinoma. Aliishia kuchezea WASH tatu straight. Na gari akaacha. Tunatoka casino na rafiki yangu kila mtu na gari yake, nlivomwambia gari yake ndio nliweka rehani, kwanza hakuamini na pombe zilimruka huku akiambatana na kunishushia matusi ya mama kifurushi cha siku.

*** Ila kuna mapigo takatifu unaweza ukapigwa casino, mpaka ukasikia kiungulia cha roho au kizunguzungu. Ushauri wangu, gambling/cassino/betting hazifai kabisaaaa ni rafiki wa umasikini.

#Poker My Fav, kupimana akili na uwezo.[emoji53] [emoji18]
Ndio,hii ndio kamari[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu jomba ’ roullete inalipa mara 36 kwa kila kiasi unachobet kwenye namba moja utakayobet na kupatia, sasa laki moja unapataje milioni 27,

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hujaelewa,hoja yako iko sahihi

Ila mimi nilienda na kianzio cha laki 1 mpaka nafunga siku nina 27m.

bila shaka ni texas holdem poker boss.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu jomba ’ roullete inalipa mara 36 kwa kila kiasi unachobet kwenye namba moja utakayobet na kupatia, sasa laki moja unapataje milioni 27,

Sent from my iPhone using JamiiForums
it depends umebet wapi kuna straight,split,corner and so on na kila moja na ulipaji wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom