Wale wadada 'wanaojisikia' sana vyuoni

Wale wadada 'wanaojisikia' sana vyuoni

Enock gabriel

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2021
Posts
348
Reaction score
321
.
 

Attachments

  • 1619849841817.png
    1619849841817.png
    17.8 KB · Views: 19
Mkubalie ombi lake,

Kisha mvue nguo zote abaki uchi Kama alivyozaliwa

Kisha,
Kaa chini, sikitika Sana, toa chozi JICHO Moja na piga moyo konde.

Kisha gafla,
vaa nguo zako ondoka apo haraka Sana.

BAADA YA HAPO LETE MREJESHO
 
Habarini.

Nipo chuo mwaka wa 2, kuna msichana mmoja anapenda sana kusifiwa na wavulana, na kujiona yeye ni bora zaidi. Kuringa kwa sana, majibu na kauli mbovu, dharau, majivuno na kiburi hata kwa waliomzidi umri.

Sasa mimi ni 'mkaksi', nafikiri mnaelewa nikisema hivyo, sasa ameniletea shobo yaani ameniambia ananipenda. Sipendi wasichana wa namna hii nafikiria nimpe jibu gani konki ambalo hatokaa anisahau.

Kama nakosea mniambie.

Ni kwa nia njema tu
Soma mzee SUP zipo
 
Back
Top Bottom