Wale wadada 'wanaojisikia' sana vyuoni

Wale wadada 'wanaojisikia' sana vyuoni

Habarini.

Nipo chuo mwaka wa 2, kuna msichana mmoja anapenda sana kusifiwa na wavulana, na kujiona yeye ni bora zaidi. Kuringa kwa sana, majibu na kauli mbovu, dharau, majivuno na kiburi hata kwa waliomzidi umri.

Sasa mimi ni 'mkaksi', nafikiri mnaelewa nikisema hivyo, sasa ameniletea shobo yaani ameniambia ananipenda. Sipendi wasichana wa namna hii nafikiria nimpe jibu gani konki ambalo hatokaa anisahau.

Kama nakosea mniambie.

Ni kwa nia njema tu

Sikiliza mwanangu, utakuwa umefanya kosa kubwa sana la kiufundi endapo hutamtafuna binti mwenye nyodo, utalaaniwa na mizimu ya mapenzi mpaka ushangae.

Fanya umkubalie mwenzio mtie Propeler kisha lete Mrejesho alaa!

Hawa wa nyodo wanakuwaga watam sana yani.
 
Acha mambo mengi, peleka moto alafu nyodo zitafuatia
 
Nasoma comments za wakulungwa naishia kucheka tu . Kichwani najiuliza, wanaosema amkomoe kwa kumchapa fimbo matata za kimkakati wanajua ni nani anaongelewa. Vipi kana ni mwanao, dada yako au ndugu yako ... 😀

Anyaways. Fanya hima umpelekee moto kisawasawa aache nyodo
 
Jibu kulingana na sifa yako ya ukaksi na mavazi unayopenda kuvaa.
  • suruali za vitambaa zenye marinda :- "ASANTE MUNGU AKUBARIKI"
  • suruali za vitambaa zakubana bila malinda: "ASANTE"
  • suruali za kadeti "ASANTE ATA MM PIA NAKUPENDA" alafu unampotezea
  • jinsi na shati la kubana bana "SAWA NA SHUKURU KWA UPENDO WAKO"
  • Jinsi na shati kubwa "POA POA MAMA LA MAMA" alafu unampotezea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kawadanganye wajinga wenzio..wenzio tulikua huko mavyuon miaka7 iliyopita..tena vyuo vikubwa vya nchi hii..mademu kama wote.na tulikua na ma boom100%...plus ni ma handsome wa kwelkwel..ila hatujawai ambiwa nakupenda ma mwanamke mzur anaejiskia...yaan kabisa slay queen wachuo anaejijua ni mzur akufate akwambie nakupenda!.hahahhaa...dogo..hebu kapige nyeto kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi comments za huu uzi bhana, mweeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom