Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha ila Patra31Jibu kulingana na sifa yako ya ukaksi na mavazi unayopenda kuvaa.
- suruali za vitambaa zenye marinda :- "ASANTE MUNGU AKUBARIKI"
- suruali za vitambaa zakubana bila malinda: "ASANTE"
- suruali za kadeti "ASANTE ATA MM PIA NAKUPENDA" alafu unampotezea
- jinsi na shati la kubana bana "SAWA NA SHUKURU KWA UPENDO WAKO"
- Jinsi na shati kubwa "POA POA MAMA LA MAMA" alafu unampotezea
dah mzee utakuwa una roho mbaya sanaMkubalie ombi lake,
Kisha mvue nguo zote abaki uchi Kama alivyozaliwa
Kisha,
Kaa chini, sikitika Sana, toa chozi JICHO Moja na piga moyo konde.
Kisha gafla,
vaa nguo zako ondoka apo haraka Sana.
BAADA YA HAPO LETE MREJESHO
Dah we jamaa wewe!Mwandikie barua kwenye toileti pepa, ujumbe uwe kwamba humpendi
[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah mzee utakuwa una roho mbaya sana
Acha uzembe mkuu fanya maajabuHabarini.
Nipo chuo mwaka wa 2, kuna msichana mmoja anapenda sana kusifiwa na wavulana, na kujiona yeye ni bora zaidi. Kuringa kwa sana, majibu na kauli mbovu, dharau, majivuno na kiburi hata kwa waliomzidi umri.
Sasa mimi ni 'mkaksi', nafikiri mnaelewa nikisema hivyo, sasa ameniletea shobo yaani ameniambia ananipenda. Sipendi wasichana wa namna hii nafikiria nimpe jibu gani konki ambalo hatokaa anisahau.
Kama nakosea mniambie.
Ni kwa nia njema tu
Fuata kilichokupeleka chuo, na nature ya mwanamke atataka huduma ambazo zina gharama, na wewe huenda una mkopo au wazazi wanajibana ili wewe usome, ukitumia hio pesa kwa kuhonga itakua kama laana, wekeza kwako binafsi utafaidika sana miaka michache inayokuja. huyu bint mwambie unampenda sana ila sio biashara ya ngonoHabarini.
Nipo chuo mwaka wa 2, kuna msichana mmoja anapenda sana kusifiwa na wavulana, na kujiona yeye ni bora zaidi. Kuringa kwa sana, majibu na kauli mbovu, dharau, majivuno na kiburi hata kwa waliomzidi umri.
Sasa mimi ni 'mkaksi', nafikiri mnaelewa nikisema hivyo, sasa ameniletea shobo yaani ameniambia ananipenda. Sipendi wasichana wa namna hii nafikiria nimpe jibu gani konki ambalo hatokaa anisahau.
Kama nakosea mniambie.
Ni kwa nia njema tu
Ahsante sana!Fuata kilichokupeleka chuo, na nature ya mwanamke atataka huduma ambazo zina gharama, na wewe huenda una mkopo au wazazi wanajibana ili wewe usome, ukitumia hio pesa kwa kuhonga itakua kama laana, wekeza kwako binafsi utafaidika sana miaka michache inayokuja. huyu bint mwambie unampenda sana ila sio biashara ya ngono
Ila sio kila mwanamke mzuri anataka gharama kubwa kaka! Hapo hapana siwezi kukupata.Fuata kilichokupeleka chuo, na nature ya mwanamke atataka huduma ambazo zina gharama, na wewe huenda una mkopo au wazazi wanajibana ili wewe usome, ukitumia hio pesa kwa kuhonga itakua kama laana, wekeza kwako binafsi utafaidika sana miaka michache inayokuja. huyu bint mwambie unampenda sana ila sio biashara ya ngono
Labda hao unaokutana nao wewe kaka! Usi-generalize!Ahsante sana!
Wachambuzi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hilo linanipa stress sana kaka!Umejipangaje na ajira? Maana huyo mwenye nyodo wana njia zao za kupita.
Ajira mbona ni simple tu kaka? Haina haja ya kuwa na pressure yaani! Wao wana njia zao, na wengine tuna zetu yaani!Umejipangaje na ajira? Maana huyo mwenye nyodo wana njia zao za kupita.
HuelewekiHilo linanipa stress sana kaka!
Ajira mbona ni simple tu kaka? Haina haja ya kuwa na pressure yaani! Wao wana njia zao, na wengine tuna zetu yaani!
Mtie mimbaHabarini.
Nipo chuo mwaka wa 2, kuna msichana mmoja anapenda sana kusifiwa na wavulana, na kujiona yeye ni bora zaidi. Kuringa kwa sana, majibu na kauli mbovu, dharau, majivuno na kiburi hata kwa waliomzidi umri.
Sasa mimi ni 'mkaksi', nafikiri mnaelewa nikisema hivyo, sasa ameniletea shobo yaani ameniambia ananipenda. Sipendi wasichana wa namna hii nafikiria nimpe jibu gani konki ambalo hatokaa anisahau.
Kama nakosea mniambie.
Ni kwa nia njema tu
Mpe mimbaaHabarini.