Wale wagumu wa kupiga simu tukutane hapa

Wale wagumu wa kupiga simu tukutane hapa

Zombi Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
841
Reaction score
1,755
Ase mi nimgumu sana kupiga simu inaweza pita hata mwezi nisipige simu nyumbani au kwa wakwe, jukumu hilo analifanya wife haiwezi pita siku mbili hajapiga simu kwa ndugu zangu na zake wote.

Wamesema nahisi wamechoka,

Kuna watu kweli wenye tabia kama zangu
 
Ase mi nimgumu sana kupiga simu inaweza pita hata mwezi nisipige simu nyumbani au kwa wakwe,jukumu hilo analifanya wife haiwezi pita siku mbili hajapiga simu kwa ndugu zangu na zake wote

Wamesema nahisi wamechoka,
Kuna watu kweli wenye tabia kama zangu
Wapo mkuu wala hauko peke yako ila hili kwa wanaume ni zaidi
 
Kaka, mimi ni kama ww. mimi sipigi simu kabisa. Na wala siangalii status whatsaap za watu wangu. Wife ndio ana kazi ya kupigia ndugu zangu na zake. hadi aibu kabisa.

nttafuta baba mkwe kesho jmosi
Mi navokwambia juzi nimeenda kwa wakwe wametoa mjengo wa maana hata sijui nilikuwa namsikia wife anaongelea kuhusu mbao ila hata sifatilia,jana mzee kanipigia simu kuhusu mipango yake kama sieleweki namwabia ndio tu
 
Saivi naonekana najiona kumbe hata Sina kitu

Juzi dada ananiomba msamaha kama nmemkosea mpaka nkashangaa

Tupeni mbinu wazee tutoke ukoo
Mi kuna dada angu huyo mcharuko hakosi kunitakia usiku mwema hata nisipojibu wiki

Ila nasikia waliofika chuo ni simpo kwao hadi wanawatakia happy mother's day si wengine hadi watoke duniani ndo unammisi
 
Mi kuna dada angu huyo mcharuko hakosi kunitakia usiku mwema hata nisipojibu wiki

Ila nasikia waliofika chuo ni simpo kwao hadi wanawatakia happy mother's day si wengine hadi watoke duniani ndo unammisi
Acha kabisa Mimi kinanitesa najitaidi wiki napiga napiga na kuchati

Inayofuata kimya hata miezi mpaka wananistua
 
Nadhani tunaitaji jina la Ili kundi maana sio kwamba hatupendi kusocialize ila hatupendi tu matumizi ya simu kupiga na kupokea
Basi tusubiri wakuu waje kutoa jina la wagumu kupiga simu
 
Ase mi nimgumu sana kupiga simu inaweza pikupata hata mwezi nisipige simu nyumbani au kwa wakwe,jukumu hilo analifanya wife haiwezi pita siku mbili hajapiga simu kwa ndugu zangu na zake wote

Wamesema nahisi wamechoka,
Kuna watu kweli wenye tabia kama zangu
Hili suala ni la kuangalia kwa macho mengi...sijui tatizo ni nini, hata simu za kazi inayonihusu kupata kipati sipokei
 
Back
Top Bottom