Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muongo 🤣Mimi mwakaaa na hukoo... Kwanza kupiga simu kwa yoyote ni kazi sana labda wateja na wadaiwaa
Karibu ujingani mkuuOya msitake kutuambukiza ujinga wenzetu kila wikiendi tunapiga simu kama hapa saa mbili hii naamka nisha piga simu baada ya hapo mpaka wikiendi ijayo nyie mnakaa mpaka mkumbushwe ndegelec kabisaaa
Kwani kuwa na hela ni kuanzia kiasi gani mkuu kila mtu ajueWote nyie Hamna hela tafuteni hela nyingi na mkizipata msiwe wachoyo
Mkuu mi hata michepuko ndamtafuta bado hajanitunuku mbususu ikiliwa tu halooo atazisikia kwa kupiga yeye asiponicheki ndamtafuta nikiwa na genyePorojo***
kitaalamu mtu anayefanya hivyo anaitwa "Mpuuzi". yani mtu ambaye hayapi mambo madogo madogo umuhimu anayapuuza tu sio kwamba hayafahamu au hayajui? no but anaamua kuyapuuzaa tu anaskipuu sasa jamani muache upuuzi wenu hiyo tabia sio nzuri hata kidogo tukipata pisi Kali mbona simu hazikauki Daily , madili ya mawe mbona tunachongesha mpaka zigo linatiki mawasiliano ni _LAZIMA halooo!
Nakazia mkuuSio lazima kupiga simu kama huna hoja...
Kinachonikera wanakua na maongezi marefu.....Ase mi nimgumu sana kupiga simu inaweza pita hata mwezi nisipige simu nyumbani au kwa wakwe,jukumu hilo analifanya wife haiwezi pita siku mbili hajapiga simu kwa ndugu zangu na zake wote
Wamesema nahisi wamechoka,
Kuna watu kweli wenye tabia kama zangu
Awa ndio wale wa sipokeagi namba ngeni 😂😂Mtu unaona kabisa simu inaitaj ila hupokei
Na hauna sababu
Nyingine zikikataa tunazilazimisha mkuu ilimradi tuenende sawaSawa. Ngoja nitajitahidi. Ila tabia mpya haujifunzi ukubwani! Ahahahahahahahh!!!
Kwelii...mimi unaweza kunipigia nikakataa ili tuchatMuongo [emoji1787]