Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hulka tu mkuu.Mi hadi huwa najiuliza ni kiburi au hulka
Dah afadhali...Ase mi nimgumu sana kupiga simu inaweza pita hata mwezi nisipige simu nyumbani au kwa wakwe,jukumu hilo analifanya wife haiwezi pita siku mbili hajapiga simu kwa ndugu zangu na zake wote
Wamesema nahisi wamechoka,
Kuna watu kweli wenye tabia kama zangu
Huu ni ugonjwa wangu kabisa wallahMtu unaona kabisa simu inaitaj ila hupokei
Na hauna sababu
Hamna hata kulogwa Babu, mana unakuta mwingine sasa anakwambia sipokei itakuwa wanataka hela hao. Lol.Huu ni ugonjwa wangu kabisa wallah
Nadhani ntakuwa nimelogwa
Hahaha afadhali yangu mimi huwa natoa sauti kukwepa usumbufuHamna hata kulogwa Babu, mana unakuta mwingine sasa anakwambia sipokei itakuwa wanataka hela hao. Lol.
Ase mi nimgumu sana kupiga simu inaweza pita hata mwezi nisipige simu nyumbani au kwa wakwe,jukumu hilo analifanya wife haiwezi pita siku mbili hajapiga simu kwa ndugu zangu na zake wote
Wamesema nahisi wamechoka,
Kuna watu kweli wenye tabia kama zangu
mulemuleMimi sio kupiga tu hata kupokea sipokei simu za watu na hata sijui ni kwanini, ndugu wote walishanisusa kunipigia simu, hata mtu akiwa na shida anampigia wife aniambie, hata sijui tatizo ni nini?
mi maza huwa anashtuka labda kuna tatizo ha ha ha ha kifupi sipendi kuongea na simu nahisi kama watu wanasikiliza siri zangu so mi mtu wa text tuMi siku nikimpigia mama anaanza kucheka kwanza
Mkuu we umezidi hadi kupokea wajitafakari? Au wajua kuwa wataanza na lawama kwanini upo kimya muda mrefu hahaha! Hii hali inatusumbua wengi, mi hata mama akinipigia tu huwa najiandaa na maneno kama atauliza maswari flani flani.Dah afadhali...
Nilijua ni mimi peke yangu...
Mimi siyo mvivu wa kupiga tu, hata kupokea huwa najitafakari kwanza.
Mkuu we umezidi hadi kupokea wajitafakari? Au wajua kuwa wataanza na lawama kwanini upo kimya muda mrefu hahaha! Hii hali inatusumbua wengi, mi hata mama akinipigia tu huwa najiandaa na maneno kama atauliza maswari flani flani.Dah afadhali...
Nilijua ni mimi peke yangu...
Mimi siyo mvivu wa kupiga tu, hata kupokea huwa najitafakari kwanza.
Kweli mkuu mimi mgumu mpaka najistukia sijampigia maza toka 1980......Ase mi nimgumu sana kupiga simu inaweza pita hata mwezi nisipige simu nyumbani au kwa wakwe,jukumu hilo analifanya wife haiwezi pita siku mbili hajapiga simu kwa ndugu zangu na zake wote
Wamesema nahisi wamechoka,
Kuna watu kweli wenye tabia kama zangu
Kumbe na wew upo humu wife!!!Ugonjwa wa Mume wangu kila mtu anamlalamikia si kwao si kwetu si marafiki , imefikia stage napigiwa mimi simu basi nampigia namuambia Mpigie Baba ako sasa hivi halafu unijulishe ndiyo anapiga maana hatopokea zote ila mimi ni lazima apokee.
Sasa nina kazi ya kumtetea jamani...atleast akiwa home mtu akipiga nikisikia napokea namuekea sikioni.
Badilikeni jamani mwee
Hivi hili tatizo linatokana na nini? Binafsi sipendi kupiga wala kupokea simu, wiki iliyopita niligundua hata Sina namba ya mama mkwe wangu, nilimtumia zawadi akapiga kunishukru, sasa nikapokea nikijua ni namba ya fundi, nikaanza kufoka mara nasikia sauti "mwanangu huna namba yangu" nikakata simu ghafla, kidogo naona simu ya wife nikajua nimelivuruga, bahati nzuri nilijipanga nikamaliza msala.mulemule
Au wewe ni mke wangu maana umepita mlemle kuna wakati anapokea simu anaweka loudspeaker halafu anakaaa kimyaUgonjwa wa Mume wangu kila mtu anamlalamikia si kwao si kwetu si marafiki , imefikia stage napigiwa mimi simu basi nampigia namuambia Mpigie Baba ako sasa hivi halafu unijulishe ndiyo anapiga maana hatopokea zote ila mimi ni lazima apokee.
Sasa nina kazi ya kumtetea jamani...atleast akiwa home mtu akipiga nikisikia napokea namuekea sikioni.
Badilikeni jamani mwee