Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 841
- 1,755
Wapo mkuu wala hauko peke yako ila hili kwa wanaume ni zaidiAse mi nimgumu sana kupiga simu inaweza pita hata mwezi nisipige simu nyumbani au kwa wakwe,jukumu hilo analifanya wife haiwezi pita siku mbili hajapiga simu kwa ndugu zangu na zake wote
Wamesema nahisi wamechoka,
Kuna watu kweli wenye tabia kama zangu
Mi hadi huwa najiuliza ni kiburi au hulkaWapo mkuu wala hauko peke yako ila hili kwa wanaume ni zaidi
Mi navokwambia juzi nimeenda kwa wakwe wametoa mjengo wa maana hata sijui nilikuwa namsikia wife anaongelea kuhusu mbao ila hata sifatilia,jana mzee kanipigia simu kuhusu mipango yake kama sieleweki namwabia ndio tuKaka, mimi ni kama ww. mimi sipigi simu kabisa. Na wala siangalii status whatsaap za watu wangu. Wife ndio ana kazi ya kupigia ndugu zangu na zake. hadi aibu kabisa.
nttafuta baba mkwe kesho jmosi
Mi kuna dada angu huyo mcharuko hakosi kunitakia usiku mwema hata nisipojibu wikiSaivi naonekana najiona kumbe hata Sina kitu
Juzi dada ananiomba msamaha kama nmemkosea mpaka nkashangaa
Tupeni mbinu wazee tutoke ukoo
Aisee, wewe ni mimi kabisa.Ase mi nimgumu sana kupiga simu inaweza pita hata mwezi nisipige simu nyumbani au kwa wakwe,jukumu hilo analifanya wife haiwezi pita siku mbili hajapiga simu kwa ndugu zangu na zake wote
Wamesema nahisi wamechoka,
Kuna watu kweli wenye tabia kama zangu
Acha kabisa Mimi kinanitesa najitaidi wiki napiga napiga na kuchatiMi kuna dada angu huyo mcharuko hakosi kunitakia usiku mwema hata nisipojibu wiki
Ila nasikia waliofika chuo ni simpo kwao hadi wanawatakia happy mother's day si wengine hadi watoke duniani ndo unammisi
Mi siku nikimpigia mama anaanza kucheka kwanzaAcha kabisa Mimi kinanitesa najitaidi wiki napiga napiga na kuchati
Inayofuata kimya hata miezi mpaka wananistua
Mkuu wewe sasa kiburiMimi sio kupiga tu hata kupokea sipokei simu za watu na hata sijui ni kwanini, ndugu wote walishanisusa kunipigia simu, hata mtu akiwa na shida anampigia wife aniambie, hata sijui tatizo ni nini?
Kwahiyo mods waunganishe ID siyo?
Nadhani tunaitaji jina la Ili kundi maana sio kwamba hatupendi kusocialize ila hatupendi tu matumizi ya simu kupiga na kupokeaMi siku nikimpigia mama anaanza kucheka kwanza
Mkuu huko unakoenda unataka kukata kamba ya mgaoKwahiyo mods waunganishe ID siyo?
Basi tusubiri wakuu waje kutoa jina la wagumu kupiga simuNadhani tunaitaji jina la Ili kundi maana sio kwamba hatupendi kusocialize ila hatupendi tu matumizi ya simu kupiga na kupokea
Hili suala ni la kuangalia kwa macho mengi...sijui tatizo ni nini, hata simu za kazi inayonihusu kupata kipati sipokeiAse mi nimgumu sana kupiga simu inaweza pikupata hata mwezi nisipige simu nyumbani au kwa wakwe,jukumu hilo analifanya wife haiwezi pita siku mbili hajapiga simu kwa ndugu zangu na zake wote
Wamesema nahisi wamechoka,
Kuna watu kweli wenye tabia kama zangu