cobe da pixel
Senior Member
- Jul 12, 2014
- 101
- 61
Mitaa ya kwa mshua hiyo esso jirani na msikitini au kanisa la kristoForest karibu na Shule ya Sekondari Meta..Mbalizi RD
Mtakuja huku kama unaenda mbaliz secmbaliz maeneo gani mkuu? mapelele, zzk, utengule, tarafani, shigamba, au mlima reli?
Mbalizi maeneo ganihapo kiwira ndio maskani mkuu karibu na shule ya msingi goje, ukitokea kituo cha polisi ile njia ya kwenda ilongoboto mbele kidogo ya makaburi ya waislamu, ila kwa sasa nipo mbalizi ndio nafanyia shughuli zangu huku.
nipo mbalizi two mkuu, barabara ya utenguleMbalizi maeneo gani
Daa! You know the old man?Jamani Mzee Jengela yupo huko Itende...BOSS...aikua mfugaji wa ng'ombe wa maziwa mzuri sana
Karbu sanaaAsante
unaanza Gari JembeHivi namba one na Ntokela zinapakana? haya maeneo huwa yananichanganya sana, unapo tokea Uyole ndio unaanza na Namba one?
Yupo?alikua rafiki mpendwa wa late baba yangu....nimefurahi sana kujua kama yupo asante[emoji120]Daa! You know the old man?
A great friend of mine...!
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ulipo songo?Mtakuja huku kama unaenda mbaliz sec
Ndipo mundu inje kughuUlipo songo?
Nati pamu uchuliteNdipo mundu inje kughu
Ama ndipoNati pamu uchulite
Ndaga songo ubhanwe ukwooAma ndipo
Ugwe uli kughuNdaga songo ubhanwe ukwoo