Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

Geuza uzi usomeke wenye asili ya mikoa hiyo maana sio wote tunaishi huko maana tumetapakaa dunia nzima ila # kukaja kununu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kanda ya kusini mikoa ya iringa,njombe,na mbeya mazingira yapo green hadi raha.
Shid ya hiyo kanda kwa upande wa akina dada kwa kweli hawakujaliwa kama kanda zingine,wadada wana sura ngumu balaa utadhani wanaume
 
Back
Top Bottom