Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah....Ila mbeya dada zenu wote mabongebonge tu...inaonekana wanapenda kulakula sana..hivi hakuna gym huko? [emoji13] [emoji13]
wewe utakua mwanaume wa darWatu wa mikoani bwana mna visa!
Balaaa saana!Mara ya kwanza kwenda Makete nilihisi Niko Itali kwa baridi lile!uko bulongwa Out post right?Na ukungu wa kutosha kabisa,mtu akiwa mita kumi haonekani wakati ni mchana.
Uko ilembula au igwachanya?Wanging'ombe hapa.. Imooo
Kwan uko makete?tushazoea siye...ndo maana hatulalamiki kupungua nguvu za kiume
Ichenjezya,mwenge au ilembo?Vwawa Hapa
Mpozile mwemwe?mwadamulaUmejibu vizuri tu
Mchele upo!?Mbarali hapa
Nzovwe hapa mbembelasalaam,
hii ni kwa wale wote waishio mikoa ya kusin kusin....kwa kina kamwene,mwagona,ughonile,mwakata,mapembelo.....nk.tufahamiane jaman.Tafadhali.
Iz mambo za kuwa na mpenz from mbeya to kigoma sijui bukoba au Mara....umepatwa na mihamu yote inaishia njian kwa uchovu wa safari na ukifika lazima utoe penz japo umechoka coz mwenzio nae alikuwa anakusubiri kwa hamu.
Umbali nao ni janga haswa kwenye suala la ndoa...ifikapo harusi bas unajikuta huna ndugu walokusindikiza zaidzaid utawaona wazaz wako,tatizo nini utasikia gharama ya nauli na umbali.
Tafadhali hili ni muhimu sana jaman......hapa hakuna kuogopana ii no sehemu ya maisha yetu. u are welcome