Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

Mi nilidhani kuna kupeana mbinu za kufaidika na SAGCOT kumbe haya
 
Mbalizi
Mshewe
Itimba
Mumva
Mjele
Ifwenkenya
Kanga
Tete
Mkwajuni
Totowe
Magamba
Kambipotea
Kambiuliza
Galula
Makongolosi
Upendo
Lupa tingatinga
Hahahaaaaaa hapo sijaingia wilaya za kyela,mbalali,mbozi,Rungwe,mbeya municipal n.k
Aiseee
 
Umalilaaa imoooooo
Wapi
salaam,
hii ni kwa wale wote waishio mikoa ya kusin kusin....kwa kina kamwene,mwagona,ughonile,mwakata,mapembelo.....nk.tufahamiane jaman.Tafadhali.
Iz mambo za kuwa na mpenz from mbeya to kigoma sijui bukoba au Mara....umepatwa na mihamu yote inaishia njian kwa uchovu wa safari na ukifika lazima utoe penz japo umechoka coz mwenzio nae alikuwa anakusubiri kwa hamu.
Umbali nao ni janga haswa kwenye suala la ndoa...ifikapo harusi bas unajikuta huna ndugu walokusindikiza zaidzaid utawaona wazaz wako,tatizo nini utasikia gharama ya nauli na umbali.

Tafadhali hili ni muhimu sana jaman......hapa hakuna kuogopana ii no sehemu ya maisha yetu. u are welcome
 
Back
Top Bottom