boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,287
- 4,738
Block T hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chunya kubwa mkuu.kuna chalangwa,makongolosi, lupa,isangawana.n.kChunyaaaaaaaa
Blessedhope unapatikana wapi?Mwanjelwa ndio napatikana kibumbu
wanakula sana ndizi za kuchomaDah....Ila mbeya dada zenu wote mabongebonge tu...inaonekana wanapenda kulakula sana..hivi hakuna gym huko? [emoji13] [emoji13]
Rukwa sumbawangando wapi agata?
NJ for lifee
WapiUmalilaaa imoooooo
salaam,
hii ni kwa wale wote waishio mikoa ya kusin kusin....kwa kina kamwene,mwagona,ughonile,mwakata,mapembelo.....nk.tufahamiane jaman.Tafadhali.
Iz mambo za kuwa na mpenz from mbeya to kigoma sijui bukoba au Mara....umepatwa na mihamu yote inaishia njian kwa uchovu wa safari na ukifika lazima utoe penz japo umechoka coz mwenzio nae alikuwa anakusubiri kwa hamu.
Umbali nao ni janga haswa kwenye suala la ndoa...ifikapo harusi bas unajikuta huna ndugu walokusindikiza zaidzaid utawaona wazaz wako,tatizo nini utasikia gharama ya nauli na umbali.
Tafadhali hili ni muhimu sana jaman......hapa hakuna kuogopana ii no sehemu ya maisha yetu. u are welcome