Wale waKenya ambao husemaga wabongo wana inferiority complex wamepotelea wapi

Adolf Hitler Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
340
Reaction score
263
Bongo Flavor yawahenyesha waKenya kila siku vikao kutafuta mchawi ni nani?😮

Unafaa ujue kuwa wanamuziki wa kibongo wanafaidika zaidi hapa Kenya kwa sababu Wakenya wana uwezo wa kifedha kuhost na kuhudhuria show zao kinyume na Wabongo.
You don't bite the hand that feeds you. Niko sahihi kusema kuwa wanamuziki wenu wanapata hela nyingi hapa Kenya kuliko Tanzania.
 
Hauko sahihi kusema hivyo, vitu ingine kubalini tu.
 
Unafaa ujue kuwa wanamuziki wa kibongo wanafaidika zaidi hapa Kenya kwa sababu Wakenya wana uwezo wa kifedha kuhost na kuhudhuria show zao kinyume na Wabongo.
You don't bite the hand that feeds you. Niko sahihi kusema kuwa wanamuziki wenu wanapata hela nyingi hapa Kenya kuliko Tanzania.
Wasanii wa tz wanao fanya show kenya hasa hasa ni wasafi tu na kwa taarifa yako tambua msanii halipwi pesa itokanayo na kiingilio. Wa tanzania wana pesa ya kujikimu kuliko mkenya wa kawaida ...tofautisha thamani ya pesa na kiwango cha malipo nikimaanisha ya kuwa Ksh ipo juu kuliko Tsh hivyo haimaanishi msanii wa Tz akija kenya analipwa amount kubwa nikukumbushe tu payment wanazotosha wanatosha interms of dollar tena per minutes on stage. Alafu siku izi wasanii wengi wanategemea malipo toka ktk social network especiqlly youtube channel + matangazo madogo madogo. Hakuna kunufaika kihivyo kama unavyofikiria ndugu. Music wa afrika mashariki huwa una cycle tu kunakipindi kenya walikuwa juu tena Ug wakabtake over then now Tz wametake over.
 
Kiukweli ni kwamba siku izi wabongo tupo tofauti sana na mlivyokiwa mnaadisiwa zaman na babu zenu yaannsiku iz mbongo humzulumu ata sh 100. Watu wapo vibrants sana kujikwamua kiuchumi
 
Huu ni mwaka wa pili Kenya inajadili mziki wa Tanzania, ila kuna watu selfish sana, kama ni kujadili miziki au taifa lililotupita kimuziki tokea miaka chungu mzima huko nyuma la kwanza lingekua DRC,

Waafrika wana hitilafu mahali
 
Unafaa ujue kuwa wanamuziki wa kibongo wanafaidika zaidi hapa Kenya kwa sababu Wakenya wana uwezo wa kifedha kuhost na kuhudhuria show zao kinyume na Wabongo.
You don't bite the hand that feeds you. Niko sahihi kusema kuwa wanamuziki wenu wanapata hela nyingi hapa Kenya kuliko Tanzania.

sasa wasanii wa kwenu na wao si wafanye sasa wanalalamika nini
 
Wasanii wa tz wanao fanya show kenya hasa hasa ni wasafi tu na kwa taarifa yako tambua msanii halipwi pesa itokanayo na kiingilio. Wa tanzania wana pesa ya kujikimu kuliko mkenya wa kawaida ...tofautisha thamani ya pesa na kiwango cha malipo nikimaanisha ya kuwa Ksh ipo juu kuliko Tsh hivyo haimaanishi msanii wa Tz akija kenya analipwa amount kubwa nikukumbushe tu payment wanazotosha wanatosha interms of dollar tena per minutes on stage. Alafu siku izi wasanii wengi wanategemea malipo toka ktk social network especiqlly youtube channel + matangazo madogo madogo. Hakuna kunufaika kihivyo kama unavyofikiria ndugu. Music wa afrika mashariki huwa una cycle tu kunakipindi kenya walikuwa juu tena Ug wakabtake over then now Tz wametake over.

wakenya na waganda hawajawai kuwa juu kimziki kuliko wa Tanzania hiyo haijawai tokea
 
Lakini kimaendeleo nyie ndio kichaka cha afrika. Kwa mengine yote nyie ni Yemen wa afrika mashariki

toa kipimo unacho tumia you guys used to say Tanzania is a sleeping giant
Now we are up kip watching while we lead the side of Africa
nyie soon chinese will rule you
 
yaani hapa mnashindania kumuona ni nani zaidi ? wasanii wa tz wanaofanya show kenya wengi ni wasafi team ,,wengine wanajaribu kufanya media tour sababu ngoma zao zinachezwa ila in terms kufanya show often ni wasafi team + kibakuli+dimpoz na wasanii wa kenya wanajua mziki sanaa sauti sol, pin+ mayonde, tanasha, so many more are coming like naiboi, sijui susumela, avril, hii battle inapoelekea wabongo wata faint tu
 
Watafaint kwanini???hahaaha
 
Big pin hana lolote yupo kwenye game mwaka wa 20 sasa ata Somalia hajulikani.
 
Back
Top Bottom