Adolf Hitler Jr
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 340
- 263
Bongo Flavor yawahenyesha waKenya kila siku vikao kutafuta mchawi ni nani?😮
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafaa ujue kuwa wanamuziki wa kibongo wanafaidika zaidi hapa Kenya kwa sababu Wakenya wana uwezo wa kifedha kuhost na kuhudhuria show zao kinyume na Wabongo.
You don't bite the hand that feeds you. Niko sahihi kusema kuwa wanamuziki wenu wanapata hela nyingi hapa Kenya kuliko Tanzania.
Wasanii wa tz wanao fanya show kenya hasa hasa ni wasafi tu na kwa taarifa yako tambua msanii halipwi pesa itokanayo na kiingilio. Wa tanzania wana pesa ya kujikimu kuliko mkenya wa kawaida ...tofautisha thamani ya pesa na kiwango cha malipo nikimaanisha ya kuwa Ksh ipo juu kuliko Tsh hivyo haimaanishi msanii wa Tz akija kenya analipwa amount kubwa nikukumbushe tu payment wanazotosha wanatosha interms of dollar tena per minutes on stage. Alafu siku izi wasanii wengi wanategemea malipo toka ktk social network especiqlly youtube channel + matangazo madogo madogo. Hakuna kunufaika kihivyo kama unavyofikiria ndugu. Music wa afrika mashariki huwa una cycle tu kunakipindi kenya walikuwa juu tena Ug wakabtake over then now Tz wametake over.Unafaa ujue kuwa wanamuziki wa kibongo wanafaidika zaidi hapa Kenya kwa sababu Wakenya wana uwezo wa kifedha kuhost na kuhudhuria show zao kinyume na Wabongo.
You don't bite the hand that feeds you. Niko sahihi kusema kuwa wanamuziki wenu wanapata hela nyingi hapa Kenya kuliko Tanzania.
Unafaa ujue kuwa wanamuziki wa kibongo wanafaidika zaidi hapa Kenya kwa sababu Wakenya wana uwezo wa kifedha kuhost na kuhudhuria show zao kinyume na Wabongo.
You don't bite the hand that feeds you. Niko sahihi kusema kuwa wanamuziki wenu wanapata hela nyingi hapa Kenya kuliko Tanzania.
Wasanii wa tz wanao fanya show kenya hasa hasa ni wasafi tu na kwa taarifa yako tambua msanii halipwi pesa itokanayo na kiingilio. Wa tanzania wana pesa ya kujikimu kuliko mkenya wa kawaida ...tofautisha thamani ya pesa na kiwango cha malipo nikimaanisha ya kuwa Ksh ipo juu kuliko Tsh hivyo haimaanishi msanii wa Tz akija kenya analipwa amount kubwa nikukumbushe tu payment wanazotosha wanatosha interms of dollar tena per minutes on stage. Alafu siku izi wasanii wengi wanategemea malipo toka ktk social network especiqlly youtube channel + matangazo madogo madogo. Hakuna kunufaika kihivyo kama unavyofikiria ndugu. Music wa afrika mashariki huwa una cycle tu kunakipindi kenya walikuwa juu tena Ug wakabtake over then now Tz wametake over.
Wakenya wagani hao washamba wanaskiza Swahili songs,,,upuzi tu
Lakini kimaendeleo nyie ndio kichaka cha afrika. Kwa mengine yote nyie ni Yemen wa afrika masharikiSisi ndo US ya Afrika Mashariki kimuziki.
Lakini kimaendeleo nyie ndio kichaka cha afrika. Kwa mengine yote nyie ni Yemen wa afrika mashariki
Lakini kimaendeleo nyie ndio kichaka cha afrika. Kwa mengine yote nyie ni Yemen wa afrika mashariki
toa kipimo unacho tumia you guys used to say Tanzania is a sleeping giant
Now we are up kip watching while we lead the side of Africa
nyie soon chinese will rule you
Mtangoja sana. Mmeamkaje na gap ya GDP bado inaongezeka.
Watafaint kwanini???hahaahayaani hapa mnashindania kumuona ni nani zaidi ? wasanii wa tz wanaofanya show kenya wengi ni wasafi team ,,wengine wanajaribu kufanya media tour sababu ngoma zao zinachezwa ila in terms kufanya show often ni wasafi team + kibakuli+dimpoz na wasanii wa kenya wanajua mziki sanaa sauti sol, pin+ mayonde, tanasha, so many more are coming like naiboi, sijui susumela, avril, hii battle inapoelekea wabongo wata faint tu
Big pin hana lolote yupo kwenye game mwaka wa 20 sasa ata Somalia hajulikani.yaani hapa mnashindania kumuona ni nani zaidi ? wasanii wa tz wanaofanya show kenya wengi ni wasafi team ,,wengine wanajaribu kufanya media tour sababu ngoma zao zinachezwa ila in terms kufanya show often ni wasafi team + kibakuli+dimpoz na wasanii wa kenya wanajua mziki sanaa sauti sol, pin+ mayonde, tanasha, so many more are coming like naiboi, sijui susumela, avril, hii battle inapoelekea wabongo wata faint tu