Wale wakongwe, haya magari mliyabatiza majina gani shule uliyosoma?

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Zile shule kongwe kidogo zilikuwa na magari aina ya malori ambayo yalisaidia katika shughuli za shule kama kusomba vyakula, kuni na kusafirisha wanafunzi kwenye matukio. Magari haya yalijizolea umaarufu lakini pia kila shule ilibatiza jina la utani lori.

 
Mbaula
 
Kulikuwa na Katara (lile kubwa) halafu kale kadogo alichokuwa anatumia head master kaliitwa Benga …. Hii ni Moshi Technical secondary school
 
Wale wa Lutengano tusogee hapa na Mjerumani wetu.
 
Wale wa tosa..na tambaza isiyokuwa na mademu msogee mbele
 
Kilwa kwakuwa ni pwani na hawapendi elimu walipigwa cheki waliletewa chai maharagwe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…