Wale wakongwe, haya magari mliyabatiza majina gani shule uliyosoma?

Wale wakongwe, haya magari mliyabatiza majina gani shule uliyosoma?

Shule zote nilizopita O na A level yalikua na haya magari, ila wakati wetu hayakua yanatumika, tumeyakuta yamepark tyuuh km makumbusho.
Lol ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tuliyaita warbus

Kuna siku ndinga ilikuwa inapanda mlima iingie barabarani kuu

Sasa vidada vilikua vinapiga kidedea vikiwa vipo karibu na malango wa nyuma

Vilidondoka Ka maembe.! kilichofata hapo hakiusiani na uzi
 
Back
Top Bottom