cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Sep 6, 2025 #21 Shule zote nilizopita O na A level yalikua na haya magari, ila wakati wetu hayakua yanatumika, tumeyakuta yamepark tyuuh km makumbusho. Lol ππππππ
Shule zote nilizopita O na A level yalikua na haya magari, ila wakati wetu hayakua yanatumika, tumeyakuta yamepark tyuuh km makumbusho. Lol ππππππ
S Sambusa kavu JF-Expert Member Joined May 4, 2015 Posts 811 Reaction score 1,312 Sep 7, 2025 #22 Ifunda tech tuliliita 'kiyeuyeu'
ManchoG JF-Expert Member Joined Jul 31, 2017 Posts 3,828 Reaction score 5,728 Sep 7, 2025 #23 Tuliyaita warbus Kuna siku ndinga ilikuwa inapanda mlima iingie barabarani kuu Sasa vidada vilikua vinapiga kidedea vikiwa vipo karibu na malango wa nyuma Vilidondoka Ka maembe.! kilichofata hapo hakiusiani na uzi
Tuliyaita warbus Kuna siku ndinga ilikuwa inapanda mlima iingie barabarani kuu Sasa vidada vilikua vinapiga kidedea vikiwa vipo karibu na malango wa nyuma Vilidondoka Ka maembe.! kilichofata hapo hakiusiani na uzi
zumbemkuu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 11,362 Reaction score 9,882 Sep 7, 2025 #24 Magamba Boys Norad na Tosamaganga Boys Nodi