Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Sera mbovu za nchi ndio zimetoa hasara hii,Wengi walitegemea bei ingepanda kipindi kile Kenya inayahitaji bei ilikuwa juu shida ikawa mipaka imefungwa mshindi hayatoki,waliporuhusu kutoka nje,wakakuta Kenya ana mahindi ya kutosha baada ya kuagiza kwingine,wakati huo Kenya ni msimu wa mavuno.Pia huku kwetu mvua zinanyesha kuna maeneo wanavuna mahindi. Hivo kupelekea kufurika kwa mahindi. Ni hasara kwa mfanyabiashara faida kwa walaji unga bei chini.