Wale Wakulima/Wafanyabiashara tuliopata hasara kutokana na biashara ya Mahindi tukutane hapa

Wale Wakulima/Wafanyabiashara tuliopata hasara kutokana na biashara ya Mahindi tukutane hapa

Inabidi msimu huu wakulima mpunzike kulima ili yapande bei
 
walionunua mpunga ndo anapiga pesa !mchele upo bei juu bado haujashuka !debe nw la mpunga 15000/ imagine uwe na gunia 300!
 
Hapa dawa ni kuanzisha viwanda vya kukamua juice ya mahindi
 
Nahitaji tani 30 za mahindi ya sembe kila baada ya wiki mbili 0764800989 Alfred, kiwanda changu kiko Kigamboni
 
Back
Top Bottom