Wale Wakulima/Wafanyabiashara tuliopata hasara kutokana na biashara ya Mahindi tukutane hapa

Sera mbovu za nchi ndio zimetoa hasara hii,
 
Kidogo sana2017 ninunue mahindi mlowo ya 5m niyatunze nilitaka ninunue kwa 7500@debe1.Mungu ni mwema nikaamua kubadili biashara huku wenzangu wakinicheka sana lakini sasa nawacheka wao na mahindi store wanalipia kila mwezi,walinunua kwa 8200 sasa ni 4500---5500
 
Hii yote ni kwa sababu ya kufunga mipaka, eti mahindi yasiende Kenya.
 
Tatizo mwaka jana hatukuweka maneno ya hakiba....unga ulifika kilo 3000...hivi lawama alipewa Nan?...na mbeba lawama tulitegemea afanye nn?
 
Ha ha ha watu mnafanya forex hadi kwenye mazao

Kama ilivyo mchezo wowote wa kubashiri,kushuka bei hutokea
 
Aisee hapa nilipo nimeanza kurudia kipiga dawa.kwani kuza ni kichefuchefu,kusaga unga hautoki kama mwanzo mbaya zaidi wadudu wameanza kupecha
 
E bhana biashara ya mahindi kwa msimu huu ni majanga uku....Mimi binafsi nlinunua sh 90 elf gunia kg 120 lkn nmelazmika kuuza sh 60 hadi 75 elfu @ gunia

Kwa iyo nmepata hasara ya 17% iv kwa mzigo wote...alafu cha kushangaza uku kishapu-shinyanga hali ya mazao ni nzur xn kuliko miaka 2 ilopita
 
Anzisha Maradi wa mifugo inayo kula mahindi ili utumiee kama chakula cha mifugo ili usipate hasara sana kama umeshindwa kuuza hayo mahindi
 
Mkuu bei ya elfu 75 inapatikana wapi?
 
Aisee hapa nilipo nimeanza kurudia kipiga dawa.kwani kuza ni kichefuchefu,kusaga unga hautoki kama mwanzo mbaya zaidi wadudu wameanza kupecha
Mkuu kuwa makini kuna dawa feki unaweka dawa lakini wadudu bado wanaendelea kupekecha tu...
 
morogoro naskia gunia ni 53000/= mwaka jana lilifika laki 1 !hatari tupu !na mwaka huu dalili ya chakula kuwa kingi ipo kwa mvua hizi !
Morogoro kulikuwa na shirika moja wanaitwa Tuboreshe Chakula, wanasaidia wakulima kutafuta masoko
 
Hata bei ya unga iko chini,
kwahiyo labda wabuni mbinu ya kutengeza mikate ya unga wa sembe,keki,maandazi etc.
Kinachotakiwa ni innovation tu kugundua kiungo cha kuufanya mkate wa sembe uwe mkate kweli kweli
Be Serious Kweli Kuna Mkate Wa Sembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…