Wale wakusema Tanzania inalisha Kenya

Wale wakusema Tanzania inalisha Kenya

Bottas

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
1,817
Reaction score
1,142
Baadhi ya wabongo wengi wasiokuwa informed kina joto la jiwe@geza ulole etc wanaishi wakisema Tanzania inalisha Kenya kwa kila kitu. Swali langu ni juu Kenya ilifunga mpaka mwezi ulio Isha tunakula mawe?maisha ina endelea kama kawaida huku na mwenye hela chakula kiko kingi. So next time you think that you feed us think twice.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
C serikali yenu ilishakusanya vyakula toka bongo na pia magar ya mizigo yanapita sio Kama wamefunga mpaka mizigo
Baadhi ya wabongo wengi wasiokuwa informed kina @joto la jiwe@geza ulole etc wanaishi wakisema Tanzania inalisha Kenya kwa kila kitu. Swali langu ni juu Kenya ilifunga mpaka mwezi ulio Isha tunakula mawe?maisha ina endelea kama kawaida huku na mwenye hela chakula kiko kingi. So next time you think that you feed us think twice.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya wabongo wengi wasiokua informed kina joto la jiwe@geza ulole etc wanaishi wakisema Tanzania inalisha Kenya kwa kila kitu.swali langu ni juu Kenya ilifunga mpaka mwezi ulio Isha tunakula mawe?maisha ina endelea kama kawaida huku na mwenye hela chakula kiko kingi.so next time you idiots think that you feed us think twice.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wafanya biashara wengi huwa wanatumia njia ya mkato (njia za panya) kupeleka vitu Kenya....it's been going on for ages, nothing new there.
 
Kaka maisha ya Kenya tunayafaham....you guys earn a daily pay which ends up in nakumati stores....no food reserve in your homes....most of you have no Land....it all belongs to kenyata family....unabisha?? Hapo unapoishi ni kwenye estate ya developers....unabisha? Matatu unayopanda ni Sacco....unabisha? You don't own anything as a real man....shame!!!
Baadhi ya wabongo wengi wasiokuwa informed kina @joto la jiwe@geza ulole etc wanaishi wakisema Tanzania inalisha Kenya kwa kila kitu. Swali langu ni juu Kenya ilifunga mpaka mwezi ulio Isha tunakula mawe?maisha ina endelea kama kawaida huku na mwenye hela chakula kiko kingi. So next time you think that you feed us think twice

FYI trucks full of grains r allowed into Kenya from Tanzania everyday!

Millions of Kenyans go hungry every day. Why, and what can be done

UN working to avert dual crises as COVID-19 hits hunger hotspots | United Nations
 
Kaka maisha ya Kenya tunayafaham....you guys earn a daily pay which ends up in nakumati stores....no food reserve in your homes....most of you have no Land....it all belongs to kenyata family....unabisha?? Hapo unapoishi ni kwenye estate ya developers....unabisha? Matatu unayopanda ni Sacco....unabisha? You don't own anything as a real man....shame!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti matatu unayopanda ni ya sacco[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani aliyekwambia km sacco's ndio zinamiliki magari...kaa ukiuluza jomba wakati mwngine..

Huna ufahamu pia hzo estates sio wote wamepanga wengine wamenunua na kuna wengine pia wanalipia pole pole..
Yani mnajitia kujua kenya kumbe zero kabisa[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Which Kenya is that for sure??
Kaka maisha ya Kenya tunayafaham....you guys earn a daily pay which ends up in nakumati stores....no food reserve in your homes....most of you have no Land....it all belongs to kenyata family....unabisha?? Hapo unapoishi ni kwenye estate ya developers....unabisha? Matatu unayopanda ni Sacco....unabisha? You don't own anything as a real man....shame!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua jina SACCO venye inamaanisha kweli..
 
Nawaona mashemeji zetu mnaanza kutushika makalio.
Ngoja tuje..tukifunga mpaka ww utalia sana
 
Baadhi ya wabongo wengi wasiokuwa informed kina joto la jiwe@geza ulole etc wanaishi wakisema Tanzania inalisha Kenya kwa kila kitu. Swali langu ni juu Kenya ilifunga mpaka mwezi ulio Isha tunakula mawe?maisha ina endelea kama kawaida huku na mwenye hela chakula kiko kingi. So next time you think that you feed us think twice.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba mna pesa mingi, hii ni 2020
IMG_20200414_191358.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka maisha ya Kenya tunayafaham....you guys earn a daily pay which ends up in nakumati stores....no food reserve in your homes....most of you have no Land....it all belongs to kenyata family....unabisha?? Hapo unapoishi ni kwenye estate ya developers....unabisha? Matatu unayopanda ni Sacco....unabisha? You don't own anything as a real man....shame!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie tuko nao sehem moja
IMG_20200414_191358.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungejua Kama mmrfunga mipaka kwenye press conference ungekaa Kimia inamana hujui Kama magar yanaendelea kuvuka kutoka na kuingia ivi nyie na nzinge wenu mnachakula nyie achen kujipaisha wakati mafara mkiendelea kutawawekea vikwazo mfe njaa jinga nyie

Back
Top Bottom