Wale wakusema Tanzania inalisha Kenya

Wale wakusema Tanzania inalisha Kenya

Serikali ya jubilee inatesa wananchi wake kisa some funds for nonsensical virus
Serikali yao wamefanya corona their mega project for attracting foreign aid na loans.
 
Hahahaha
Baadhi ya wabongo wengi wasiokuwa informed kina joto la jiwe@geza ulole etc wanaishi wakisema Tanzania inalisha Kenya kwa kila kitu. Swali langu ni juu Kenya ilifunga mpaka mwezi ulio Isha tunakula mawe?maisha ina endelea kama kawaida huku na mwenye hela chakula kiko kingi. So next time you think that you feed us think twice.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hivi ukienda dukani kununua mchele kisha ukaenda kupika na kula, hapo umejilisha mwenyewe au umelishwa na aliyekuuzia mchele?
Utakuwa umejilisha mwenyewe...lakini je mchele ukikosekana dukani utakula mawe??
 
Iko proved mara hazihesabiki bila mtanzania kujituma mkenya anakufa njaa
 
Hata usibonge maana hata Mexico wanawalisha mahindi hahha

Back
Top Bottom