babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ya jubilee inatesa wananchi wake kisa some funds for nonsensical virus
Serikali yao wamefanya corona their mega project for attracting foreign aid na loans.Serikali ya jubilee inatesa wananchi wake kisa some funds for nonsensical virus
Baadhi ya wabongo wengi wasiokuwa informed kina joto la jiwe@geza ulole etc wanaishi wakisema Tanzania inalisha Kenya kwa kila kitu. Swali langu ni juu Kenya ilifunga mpaka mwezi ulio Isha tunakula mawe?maisha ina endelea kama kawaida huku na mwenye hela chakula kiko kingi. So next time you think that you feed us think twice.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa umejilisha mwenyewe...lakini je mchele ukikosekana dukani utakula mawe??Hivi ukienda dukani kununua mchele kisha ukaenda kupika na kula, hapo umejilisha mwenyewe au umelishwa na aliyekuuzia mchele?
Uwepo wa mchele dukani ni suala lingine.Utakuwa umejilisha mwenyewe...lakini je mchele ukikosekana dukani utakula mawe??
Baadhi ya wabongo wengi wasiokuwa informed kina joto la jiwe@geza ulole etc wanaishi wakisema Tanzania inalisha Kenya kwa kila kitu. Swali langu ni juu Kenya ilifunga mpaka mwezi ulio Isha tunakula mawe?maisha ina endelea kama kawaida huku na mwenye hela chakula kiko kingi. So next time you think that you feed us think twice.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo ndipo lilipo tatizo la Kenya...kwamba they have to import foodUwepo wa mchele dukani ni suala lingine.
Jamaa wamejitia kitanzi hivi hivi huku wanajiona.Sasa hapo ndipo lilipo tatizo la Kenya...kwamba they have to import food
Wewe waache tu, watakula mafi yao...Nzige wapo njiani wanarudi bigger and meaner uko. Weka akiba ya maneno.
Sent from ONEPLUS 5T using Tapatalk