Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Kwani kuumizwa au kufanyiwa vurugu kunachagua ambaye haishi nyumba ya kupanga?Anatembea na mabody guard huku anakaa kwenye nyumba ya kupanga,hii ni akili au matope?
Halafu pia, nadhani wewe unaamini kuwa kupanga nyumba ni umasikini na kuishi kwenye nyumba yako basi ni utajiri, kweli au si kweli?