Wale walinzi ( bodigadi) wanaomlinda Hamissa nani anawalipa kama siyo Diamond?

Wale walinzi ( bodigadi) wanaomlinda Hamissa nani anawalipa kama siyo Diamond?

Anatembea na mabody guard huku anakaa kwenye nyumba ya kupanga,hii ni akili au matope?
Weka kumbukumbu vizuri kwa vizazi vijavyo.
Hakai kwenye nyumba ya kupanga....anakaa kwenye nyumba aliyopangishiwa!
Kuna tofauti apo tena kubwa tuu.
Hajawai kupanga hata chumba na Hana uwezo wa kupanga nyumba yule golikipa tuu
 
Wahindi wamejenga wapi?!acheni kukremu kwamba nyumba ndo utajiri hamisa ana 24yrs
Sasa wahindi kwani wao ni wabongo??? Wale huonagi wakati wa uchaguzi wanakimbia nchi alafu wanarudi wakati baada ya chaguzi??
Acha kukurupuka.

24yrs sasa mbona amekomaa ivo utasema ameanza menopause kama wewe??
 
Sasa hamisa ni mhindi,unawajua Watanzania wangapi waliojenga India kwa mfano?
Halafu unasema ana 24 ni mdogo,mtu anawatoto wawili halafu unamwita mdogo?
Mkuu achana nae huyo nae kazalishwa afu hajajenga afu ana stress za menopause sasa ndo anakuja kupanik huku...alisahau kua maisha ni nyakati
 
Wahindi wamejenga wapi?!acheni kukremu kwamba nyumba ndo utajiri hamisa ana 24yrs

Are you sure. 24 years. Ukitoa Tisa ngapi. Ndo alianza mahaba na Dai. Maneno yake. Huyu atakuwa Bibi Sio Binti. Afu kumbuka hana Kazi na the more you aged the harder it becomes to get „lucrative“ Igweeeee. So acha Kumdanganya. Ye Sio meneja Au mhasibu useme kwamba akikua atajenga. Nyie ndo marafiki wanafiki. Viwanja vinauzwa. Unakimbilia sherehe 40. kwa Hela ya kupewa. Afu mnashabikia. Kesho Unakuja na uzi Tz maisha magumu kweli. Priorities zitafanya Wtz wengi wasiendelee
 
Asante.
 
Back
Top Bottom