Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Kwani kuumizwa au kufanyiwa vurugu kunachagua ambaye haishi nyumba ya kupanga?Anatembea na mabody guard huku anakaa kwenye nyumba ya kupanga,hii ni akili au matope?
Weka kumbukumbu vizuri kwa vizazi vijavyo.Anatembea na mabody guard huku anakaa kwenye nyumba ya kupanga,hii ni akili au matope?
Sasa wahindi kwani wao ni wabongo??? Wale huonagi wakati wa uchaguzi wanakimbia nchi alafu wanarudi wakati baada ya chaguzi??Wahindi wamejenga wapi?!acheni kukremu kwamba nyumba ndo utajiri hamisa ana 24yrs
Nani chifu?
Mkuu achana nae huyo nae kazalishwa afu hajajenga afu ana stress za menopause sasa ndo anakuja kupanik huku...alisahau kua maisha ni nyakatiSasa hamisa ni mhindi,unawajua Watanzania wangapi waliojenga India kwa mfano?
Halafu unasema ana 24 ni mdogo,mtu anawatoto wawili halafu unamwita mdogo?
Kumbe ni 24 yrs ndio mana ana akili za kitoto.Wahindi wamejenga wapi?!acheni kukremu kwamba nyumba ndo utajiri hamisa ana 24yrs
[emoji23][emoji23][emoji23]Mtashangaa mtoto wa pili atakapozaliwa
Gigy Money anadaiwa kodi ya nyumba milioni 8 wakati huohuo kavaa wigi la milioni 5.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anatembea na mabody guard huku anakaa kwenye nyumba ya kupanga,hii ni akili au matope?
ndo madada zetu haoGigy Money anadaiwa kodi ya nyuma milioni 8 wakati huohuo kavaa wigi la milioni 5.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawa mabinti wana vituko sana,maigizo non stop.
Wee unazijua sababu gani ambazo zinawafanya wahindi wasijenge?Wahindi wamejenga wapi?!acheni kukremu kwamba nyumba ndo utajiri hamisa ana 24yrs
SizijuiWee unazijua sababu gani ambazo zinawafanya wahindi wasijenge?
Weka kumbukumbu vizuri kwa vizazi vijavyo.
Hakai kwenye nyumba ya kupanga....anakaa kwenye nyumba aliyopangishiwa!
Hana uwezo wa kupanga nyumba yile golikipa tuu
Labda kapitia yale maisha ya CHAI JAGI, Kitumbua kimoja24 years kakomaa vile kama anakula cement?
Wahindi wamejenga wapi?!acheni kukremu kwamba nyumba ndo utajiri hamisa ana 24yrs
Asante.Are you sure. 24 years. Ukitoa Tisa ngapi. Ndo alianza mahaba na Dai. Maneno yake. Huyu atakuwa Bibi Sio Binti. Afu kumbuka hana Kazi na the more you aged the harder it becomes to get „lucrative“ Igweeeee. So acha Kumdanganya. Ye Sio meneja Au mhasibu useme kwamba akikua atajenga. Nyie ndo marafiki wanafiki. Viwanja vinauzwa. Unakimbilia sherehe 40. kwa Hela ya kupewa. Afu mnashabikia. Kesho Unakuja na uzi Tz maisha magumu kweli. Priorities zitafanya Wtz wengi wasiendelee