upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Heh!si balaa hilo sasa.Lile Wigi alilolinunulia hapa hapa kisha Wigi hilohilo akaliagiza Nje?? au silo hilo
kwa taarifa yako wanajenga kwao, wananunua nyumba uk, canada nk jidanganyeWahindi wamejenga wapi?!acheni kukremu kwamba nyumba ndo utajiri hamisa ana 24yrs
Sasa utajuaje km hajajenga hamisa?kwa taarifa yako wanajenga kwao, wananunua nyumba uk, canada nk jidanganye
Waambie wakusikie tens wakuelewe kabisaaaaa....upuuzi wa wabongo walio wengi eti kuwa na nyumba na gari ndo Maisha bora... Unakuta mtu ana nyumba lakini anakula pumba kila siku anavaa matambala hana miradi yoyote ya kumuingizia kipato zaidi labda ya kamshahara afu anajitapa ana Maisha mazuri kwa kua ana nyumba ila hamisa aliepanga huku hela inaingia daily akaunti imetuna wanamuona hana Maisha....pumbav zenuWahindi wamejenga wapi?!acheni kukremu kwamba nyumba ndo utajiri hamisa ana 24yrs
Wabongo tunaishi kwa kukariri sana yaani haswa wakiwa hawakupendiWaambie wakusikie tens wakuelewe kabisaaaaa....upuuzi wa wabongo walio wengi eti kuwa na nyumba na gari ndo Maisha bora... Unakuta mtu ana nyumba lakini anakula pumba kila siku anavaa matambala hana miradi yoyote ya kumuingizia kipato zaidi labda ya kamshahara afu anajitapa ana Maisha mazuri kwa kua ana nyumba ila hamisa aliepanga huku hela inaingia daily akaunti imetuna wanamuona hana Maisha....pumbav zenu
Ufala na uboya tu...watu wanamsakama mtoto wa watu bure kwa Maisha gani waliyokua nayo?kwanza hamisa bado mdogo akifikisha 30 atakua na nyumba yake kha!Wabongo tunaishi kwa kukariri sana yaani haswa wakiwa hawakupendi
Acha kuona karibu fikilia na kuona mbali na kama unao ushaidi weka mezan tuone
Team roho mbaya team majungu team fitna wanatamani ht kutongozwa na dancer wa dai[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ufala na uboya tu...watu wanamsakama mtoto wa watu bure kwa Maisha gani waliyokua nayo?kwanza hamisa bado mdogo akifikisha 30 atakua na nyumba yake kha!
Comment yako imeenda shule, lakini lugha uliyotumia ni ya kitaa zaidi, haifai kufundishia na kuelimishia.Are you sure. 24 years. Ukitoa Tisa ngapi. Ndo alianza mahaba na Dai. Maneno yake. Huyu atakuwa Bibi Sio Binti. Afu kumbuka hana Kazi na the more you aged the harder it becomes to get „lucrative“ Igweeeee. So acha Kumdanganya. Ye Sio meneja Au mhasibu useme kwamba akikua atajenga. Nyie ndo marafiki wanafiki. Viwanja vinauzwa. Unakimbilia sherehe 40. kwa Hela ya kupewa. Afu mnashabikia. Kesho Unakuja na uzi Tz maisha magumu kweli. Priorities zitafanya Wtz wengi wasiendelee
Hivi haiwezekani ku-retriev matukio kisheria ili kama kweli ana 24yrs'f age, hao alioanza nao miaka9 nyuma akiwa mtoto waswagwe korokoroni kwa ubakaji?Mhhh ana 24yrs, ka date na Mond kwa siri for 9yrs jaman na majizo pia ndani ya miaka hyo hyo 9. Basi alianza mapema sana ka mchezo
Tuko pamojaTeam roho mbaya team majungu team fitna wanatamani ht kutongozwa na dancer wa dai[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Yani nakwambia dada zetu hawa acha tu wenye akili zao akina Zari waje wanufaike maana wao wamelala sana na fursa hizi