Wale walinzi ( bodigadi) wanaomlinda Hamissa nani anawalipa kama siyo Diamond?

Wale walinzi ( bodigadi) wanaomlinda Hamissa nani anawalipa kama siyo Diamond?

Wahindi wamejenga wapi?!acheni kukremu kwamba nyumba ndo utajiri hamisa ana 24yrs
Waambie wakusikie tens wakuelewe kabisaaaaa....upuuzi wa wabongo walio wengi eti kuwa na nyumba na gari ndo Maisha bora... Unakuta mtu ana nyumba lakini anakula pumba kila siku anavaa matambala hana miradi yoyote ya kumuingizia kipato zaidi labda ya kamshahara afu anajitapa ana Maisha mazuri kwa kua ana nyumba ila hamisa aliepanga huku hela inaingia daily akaunti imetuna wanamuona hana Maisha....pumbav zenu
 
Wabongo tunaishi kwa kukariri sana yaani haswa wakiwa hawakupendi
 
Mtu anadaiwa child support hapeleki,ndio aende kumlipia mabaunsa kumlinda?mnajitekenya wnywe,there is nothing more hapo
 
Ufala na uboya tu...watu wanamsakama mtoto wa watu bure kwa Maisha gani waliyokua nayo?kwanza hamisa bado mdogo akifikisha 30 atakua na nyumba yake kha!
Team roho mbaya team majungu team fitna wanatamani ht kutongozwa na dancer wa dai[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nowdays imekuwa km fashion kila mtu na walinzi eeh!! Isikute hao walinzi ni wapiga debe wa manzese
 
Are you sure. 24 years. Ukitoa Tisa ngapi. Ndo alianza mahaba na Dai. Maneno yake. Huyu atakuwa Bibi Sio Binti. Afu kumbuka hana Kazi na the more you aged the harder it becomes to get „lucrative“ Igweeeee. So acha Kumdanganya. Ye Sio meneja Au mhasibu useme kwamba akikua atajenga. Nyie ndo marafiki wanafiki. Viwanja vinauzwa. Unakimbilia sherehe 40. kwa Hela ya kupewa. Afu mnashabikia. Kesho Unakuja na uzi Tz maisha magumu kweli. Priorities zitafanya Wtz wengi wasiendelee
Comment yako imeenda shule, lakini lugha uliyotumia ni ya kitaa zaidi, haifai kufundishia na kuelimishia.
 
Mhhh ana 24yrs, ka date na Mond kwa siri for 9yrs jaman na majizo pia ndani ya miaka hyo hyo 9. Basi alianza mapema sana ka mchezo
Hivi haiwezekani ku-retriev matukio kisheria ili kama kweli ana 24yrs'f age, hao alioanza nao miaka9 nyuma akiwa mtoto waswagwe korokoroni kwa ubakaji?
 
kwenye sherehe yake juzi akihojiwa alisema ana mwaka wa 10 huu toka awe na Dai..Kama ana 24 ina maana walianzana akiwa 14.Mmmh! i smell uongo hapo..Halaf mwenyewe anaona sifaaaa..anajichekesha kabisa.Kweli unyimwe vyote sio akili aliimba Banza Stone RIP
 
Back
Top Bottom