Comrade One
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 200
- 361
Unaanza pata certificate then assignment, test 1 na 2 mbele kwa mbeleHahah ndo wajue ndoa ni chuo cha misamaha mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaanza pata certificate then assignment, test 1 na 2 mbele kwa mbeleHahah ndo wajue ndoa ni chuo cha misamaha mkuu.
Hahah QUIZ za kushtukiza daily afu coursework upate 35/40.Unaanza pata certificate then assignment, test 1 na 2 mbele kwa mbele
Thubutu yao kila siku wanalia lia tu...inamaana coursework hawajaifikasha 16 [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahah QUIZ za kushtukiza daily afu coursework upate 35/40.
Sisi tunaendelea kukesha mkuuMi namalizia zanzi nilale! Popo endeleeni
Burudani mkuuSisi tunaendelea kukesha mkuu
Cha wapi hicho babu?Mi nnanyonga nipate chale za kuset mkeka
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Wengine wamelala mzungu wa 4 sa hivi.
Me ndio hata dalili za usingiz sina...yaani hadi sasa majukwaa yoote nimepita and 90% ya threads zoote za 2018 nimezipitia na michango yaoKudadek nite kali lkn ata usingizi haupo kaa nmepiga mirungi
Na wewe saa 9 alfajir hii vp wacheka au mzungu 4 amekuhusu nn?[emoji38] [emoji38] [emoji38]
HuhuhuhuNa wewe vp wacheka muda huu au mzungu 4 amekuhusu nn?
Ebhana kweli bachelors tunashida sana sa hii tungekuwa tushakamatia viuno bhanaMe ndio hata dalili za usingiz...yaani hadi sasa majukwaa yoote nimepita
Ebwana noma sana mkuu...Mwenyezi Ajaalie nasi tuje pata hata huyo wa kulala nae mzungu 4 [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ebhana kweli bachelors tunashida sana sa hii tungekuwa tushakamatia viuno bhana