WALE WALIOKUA MACHO TUPEANE MAWAZO YA KESHO

WALE WALIOKUA MACHO TUPEANE MAWAZO YA KESHO

Kudadek nite kali lkn ata usingizi haupo kaa nmepiga mirungi
 
Kudadek nite kali lkn ata usingizi haupo kaa nmepiga mirungi
Me ndio hata dalili za usingiz sina...yaani hadi sasa majukwaa yoote nimepita and 90% ya threads zoote za 2018 nimezipitia na michango yao
 
Weita Leta nyingine Tena… [emoji482]
 
Back
Top Bottom