Hebu taja timu moja Kati ya hizo mpaka ilipo Simba Kama Kuna timu haina kombe la Caf!!.Unamaanisha aliye namba moja kwenye rank alifika hapo bila zawadi zilizotokana na mashindano yaliyompa point za kufika hapo?
Ndio maana nakwambia umekurupuka, mimi nimetoa comment kulingana na kilichopostiwa na mleta uzi. Wewe umekuja ku reply kitu ambacho kipo nje na mada. Wewe umekuja na hoja ya hiyo record iliyowekwa hapo umehusisha na mashindano mapya ya klabu bingwa dunia. Nikakupinga kwa fact.asa wew na mim Nani ambaye hajaelewa embu kwa kufamisha mim nilikua nakujibu kwenye hii comment Na Ndio maana ukalizwa na huyo jamaa apo Nazani we ni slower leaner usizani mim nimekulupuka tu View attachment 2925534
Mkuu mbona unaishia tu robo, ungemalizia mara ngapi?Kichaka cha robo walichokua wajifichia sasa kimefyekwa. Kilichobaki zinatafutwa rekodi mbalimbali ili mradi kuendelea kujificha ficha.
Nyie watoto wa juzi hamjui hata kama Simba anayo medali ya CAF kabla yenuEndeleeni kuishi narekodi,tukileta ndoo mtaelewa tu....
Kwanza kubishana na timu isiyo na medals za CAF ni kupoteza muda tu
Zee la kukurupuka au lugha huijui?Mzee Tp mazembe kwenye Clabu Rank yupo nafasi ya 9 nani kakwambia TP mazembe yupo juu think more mzee usikurupuke Wew ndio hujui kitu Maana hujui hata clabu Rank ikoje ok kwa kusaidia CAF jana wametoa Clabu Rank Nenda kacheki
Wengine kujiharishia.Siku yanga akicheza fainali ya CL Kuna watu watajinyonga
Huoni aibu kuzihesabu hizo robo kila mwaka na huendelei? Yan zikiwa nne au tano kwako ni mafanikioMkuu mbona unaishia tu robo, ungemalizia mara ngapi?
robo zikiwa 4 ni sawa na kiloMkuu mbona unaishia tu robo, ungemalizia mara ngapi?