Wale waliongia robo fainali ya CAF msimu huu bado rekodi haziwatambui

Wale waliongia robo fainali ya CAF msimu huu bado rekodi haziwatambui

Unamaanisha aliye namba moja kwenye rank alifika hapo bila zawadi zilizotokana na mashindano yaliyompa point za kufika hapo?
Hebu taja timu moja Kati ya hizo mpaka ilipo Simba Kama Kuna timu haina kombe la Caf!!.
 
asa wew na mim Nani ambaye hajaelewa embu kwa kufamisha mim nilikua nakujibu kwenye hii comment Na Ndio maana ukalizwa na huyo jamaa apo Nazani we ni slower leaner usizani mim nimekulupuka tu View attachment 2925534
Ndio maana nakwambia umekurupuka, mimi nimetoa comment kulingana na kilichopostiwa na mleta uzi. Wewe umekuja ku reply kitu ambacho kipo nje na mada. Wewe umekuja na hoja ya hiyo record iliyowekwa hapo umehusisha na mashindano mapya ya klabu bingwa dunia. Nikakupinga kwa fact.
Na huyo mwenzio ulie attach comment yake hapa yeye kaleta hoja ya rank,
Sasa je mleta uzi kaleta uzi hizo record na ranking zinahusiana vipi?
 
Endeleeni kuishi narekodi,tukileta ndoo mtaelewa tu....


Kwanza kubishana na timu isiyo na medals za CAF ni kupoteza muda tu
Nyie watoto wa juzi hamjui hata kama Simba anayo medali ya CAF kabla yenu
 

Attachments

  • Screenshot_20240305-223006.png
    Screenshot_20240305-223006.png
    1.3 MB · Views: 1
Mzee Tp mazembe kwenye Clabu Rank yupo nafasi ya 9 nani kakwambia TP mazembe yupo juu think more mzee usikurupuke Wew ndio hujui kitu Maana hujui hata clabu Rank ikoje ok kwa kusaidia CAF jana wametoa Clabu Rank Nenda kacheki
Zee la kukurupuka au lugha huijui?
 
Back
Top Bottom