Richard JF-Expert Member Joined Oct 23, 2006 Posts 15,692 Reaction score 23,038 Nov 18, 2018 Thread starter #21 tindo said: Richard narudia ww ni mbabaishaji, hii mechi ya leo umehamasika baada ya hizi promo ila huna ujualo kuhusu soka. Ww nakufananisha na wale wakristo au waisilamu wanaoenda ibadani siku ya xmas au Idd na kujifanya wanajua sana ibada. Click to expand... Naona leo umeamaua kunishambulia! I still like you though.
tindo said: Richard narudia ww ni mbabaishaji, hii mechi ya leo umehamasika baada ya hizi promo ila huna ujualo kuhusu soka. Ww nakufananisha na wale wakristo au waisilamu wanaoenda ibadani siku ya xmas au Idd na kujifanya wanajua sana ibada. Click to expand... Naona leo umeamaua kunishambulia! I still like you though.
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Nov 18, 2018 #22 Richard said: Naona leo umeamaua kunishambulia! I still like you though. Click to expand... Ww si ndio mtani wangu wa jadi huku jukwaani unataka nimshambulie nani tena kaka? Na hii ndio raha ya demokrasia.
Richard said: Naona leo umeamaua kunishambulia! I still like you though. Click to expand... Ww si ndio mtani wangu wa jadi huku jukwaani unataka nimshambulie nani tena kaka? Na hii ndio raha ya demokrasia.
Richard JF-Expert Member Joined Oct 23, 2006 Posts 15,692 Reaction score 23,038 Nov 18, 2018 Thread starter #23 tindo said: Ww si ndio mtani wangu wa jadi huku jukwaani unataka nimshambulie nani tena kaka? Na hii ndio raha ya demokrasia. Click to expand... Nafahamu hilo. Demokrasia ina raha zake.
tindo said: Ww si ndio mtani wangu wa jadi huku jukwaani unataka nimshambulie nani tena kaka? Na hii ndio raha ya demokrasia. Click to expand... Nafahamu hilo. Demokrasia ina raha zake.