Wale walocheza fainali za 1980 wapewe heshima kuihamasisha Taifa Stars icheze kwa hari na kujituma ili iende kwenye fainali za AFCON

Wale walocheza fainali za 1980 wapewe heshima kuihamasisha Taifa Stars icheze kwa hari na kujituma ili iende kwenye fainali za AFCON

Richard narudia ww ni mbabaishaji, hii mechi ya leo umehamasika baada ya hizi promo ila huna ujualo kuhusu soka. Ww nakufananisha na wale wakristo au waisilamu wanaoenda ibadani siku ya xmas au Idd na kujifanya wanajua sana ibada.

Naona leo umeamaua kunishambulia!

I still like you though.
 
Naona leo umeamaua kunishambulia!

I still like you though.

Ww si ndio mtani wangu wa jadi huku jukwaani unataka nimshambulie nani tena kaka? Na hii ndio raha ya demokrasia.
 
Ww si ndio mtani wangu wa jadi huku jukwaani unataka nimshambulie nani tena kaka? Na hii ndio raha ya demokrasia.

Nafahamu hilo.

Demokrasia ina raha zake.
 
Back
Top Bottom