Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,814
- 2,738
Hivi Kweli dokta umeumiza kichwa Kwa kutumia elimu yako hili ndio wazo umeona uje nalo? Au hii doctorate yako ni kama ile ya Dr musukuma, au Dr Babu tale?karibuni
Hapo unakuwa umewasaidiaje vijana?Vijana hawa watasajili kikundi chao BRELA na kwa mwanasheria. Milioni 5 au 4 watalipia gari moja used na kupanga utaratibu wa kulitumia gari lao.
Kuna vitu hautakiwi kulazimisha kumiliki, mfuko ndio unaotakiwa kukulazimisha.Ninajua washkaji zaidi ya watano walinunua magari yao ya kwanza kipindi cha mvua Dar es salaam. Walikuwa na hela lakini hawakuona umuhimu mpaka barabara zilipojaa matope na hata wakitumia boda boda wanachafua suruali zao.Habari zenu wakuu.
Baada ya kukutana na vijana kadhaa wanatamani wamiliki gari used kuwahi shughuli zao ila bajeti haitoshi, Yaani ni kazi kukusanya milioni 5 au 4 kwa pamoja.
Naielewa vyema hali hiyo nami nilipitia nikianza maisha ya kujitafuta. Sasa nimekuja na plan kuwawezesha kutimiza malengo yenu bila Riba.
Tumeanzisha utaratibu wa kukusanya watu kati ya 4 hadi 8 kwa kikundi, kila mmoja akiwa na mtaji usiopungua laki 5 na usiozidi milioni moja. Vijana hawa watasajili kikundi chao BRELA na kwa mwanasheria. Milioni 5 au 4 watalipia gari moja used na kupanga utaratibu wa kulitumia gari lao.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0713-039 875
Tuko Kibaha maili moja
View attachment 3434766View attachment 3434768
Hata msukuma darasa la saba ila anaitwa Dokta.Hivi Kweli dokta umeumiza kichwa Kwa kutumia elimu yako hili ndio wazo umeona uje nalo? Au hii doctorate ni kama ile ya Dr musukuma, au Dr Babu tale?
Swali zuri. Ni Kama school bus, woote watapitiwa ,wa mbali mapema zaidi mfano saa 11 n.k .pia kwa baadaye kutakuwa na vituo unatumia gari mojawapo ya plan yetu iliyo jirani naweInakuwaje pale wana group mmoja anaishi Kimara, Mwingine Chanika, kuna wa Mbweni na wa mwisho maji matitu.
Wata share vipi gari?