Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nyumba ina
2 bedrooms (zote zina bathroom)
Lounge with open kitchen and dinning
Public toilet
Verandah kuzunguka mbele
Sliding glass doors kuja swimming pool
Plot size 20x20m
View attachment 3030662
Huu upauaji ukikutana na fundi kanjanja, utajuta, utalia na kusaga meno....
Haya madirisha labda ukajenge karibia na Ikulu.... Vinginevyo wezi wanahamishia makazi yao chumbani kwako....
Hizi Nyumba nimeziona kwenye Game la PubgHii nyumba ina
2 bedrooms (zote zina bathroom)
Lounge with open kitchen and dinning
Public toilet
Verandah kuzunguka mbele
Sliding glass doors kuja swimming pool
Plot size 20x20m
View attachment 3030662
HahahaHaya madirisha labda ukajenge karibia na Ikulu.... Vinginevyo wezi wanahamishia makazi yao chumbani kwako....
Mzuri kwa macho. Bongo hata kama una ramani mafundi wenye uwezo wa kujenga nyumba iwe exactly kama hii michoro ni wachache mno mno.Uzi mzuri sana
Bongo wezi wanafanya ujenzi uwe ghali sana. Hapo bado hujaweka ukuta kuzunguka nyumba yote na madirisha na milango iwekewe grills.Haya madirisha labda ukajenge karibia na Ikulu.... Vinginevyo wezi wanahamishia makazi yao chumbani kwako....
optionable choice ni kutumia mkandarasi ambavyo ni mapesa.Mzuri kwa macho. Bongo hata kama una ramani mafundi wenye uwezo wa kujenga nyumba iwe exactly kama hii michoro ni wachache mno mno.
Najua. Nimezungumzia gharama inayosababishwa na wezi.sliding grills zipo
Bati Haina slope.Huu upauaji ukikutana na fundi kanjanja, utajuta, utalia na kusaga meno....