MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Wengine tulikuja na Threads za kila aina hapa JamiiForums za Kumsema Haji Manara huku tukiwa na Taarifa za Kutosha tu kuwa alikuwa ni Msaliti ndani ya Simba SC tukadharaulika na Kupuuzwa hatimaye leo tumegeuka kuwa ni Mashujaa na huenda hata tunastahili Tuzo za Heshima.
Haya wale wana Simba SC Wanafiki na mliokuwa mkimtetea mno Haji Manara na Kunishambulia / Kutushambulia tuliomshtukia mapema Usaliti wake na Kumkataa je, nanyi Leo hii mtahama nae huko huko Yanga SC au mtabakia Simba SC huku mkipigia Saluti zote The Iron Lady CEO Madame Barbara Gonzalez kwa Ushujaa wake wa Kimafia dhidi ya huyu Mwendawazimu na Mpumbavu?