Kama kweli una akili timamu,naomba unijibu hili swali hapo chini.
Baada ya Manara kufukuzwa Simba Sc kea tuhuma za usaliti, ulitegemea akae bila kazi Ili uonyeshe mapenzi yake kwa Simba Sc ambayo ilishaonyesha kudharau utumishi wake kwa miaka yote ile?
Ikiwa angeamua kukaa bila kazi Ili akuridhishe wewe na mashabiki wengine wachawi kama wewe, ungewajibika kuihudumia familia yake kwa miaka yote?
Ukifatilia kwa makini, mashabiki wengi wa Simba Sc walitaka jamaa aadhirike Ili waendelee kumcheka, kinachowauma sio yeye kwenda Yanga kinachowauma ni yeye kupata chaka jingine ilihali mlitaka awe ahehae kwakua mliamini kuwa Simba Sc ndo kila kitu kwake.