MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Nilitukanwa na Kudhihakiwa mno hapa JamiiForums nilipokuwa nikimsema Haji Manara na Usaliti wake mpaka kuitwa chawa wa Mo Dewji na Barbara Gonzalez sasa leo nahitaji mniombe Radhi na ikiwezekana huko huko mlipo tu mnipigie Saluti yangu kwa Maono yangu makali na yaliyotimia Jana kwa Mwendawazimu na Mpumbavu kuhamia rasmi Yanga SC.Tumtakie kila la kheri huko aendako
Kwa andiko hili la Manara, ameshakiuka kiapo.
Uombwe msamaha kwa ajili ya matendo yako ya chuki?Nilitukanwa na Kudhihakiwa mno hapa JamiiForums nilipokuwa nikimsema Haji Manara na Usaliti wake mpaka kuitwa Chawa wa Mo Dewji na Barbara Gonzalez sasa leo nahitaji mniombe Radhi na ikiwezekana huko huko mlipo tu mnipigie Saluti yangu kwa Maono yangu makali na yaliyotimia Jana kwa Mwendawazimu na Mpumbavu kuhamia rasmi Yanga SC.
Haya Leo hii unayoita Chuki yangu Kwake imekuwa ni ya Faida au Hasara? Je, niliyoyasema yamethibitika au hayajathibitika? Utabakia hivyo hivyo na Ujuha wako.Uombwe msamaha kwa ajili ya matendo yako ya chuki?
Kama kuna Wana Yanga SC wachache sana wenye Akili Kubwa na Wanaojitambua basi nawe pia ni Mmoja wao Ndugu.Huu ujinga tulio ufanya Yanga utatugharim sana Yanga,kwani huwezi mwajiri mtu anayeshindwa kuhifadhi siri za taasisi aliyo ifanyia kazi kwani kaeni mkijua kila taasisi ina udhaifu wake.
Tena kwa Taarifa yao tu sasa waambie kuwa Simba SC bila Msaliti Haji Manara ndiyo inaenda kuwa na Mafanikio makubwa ya ndani na nje ya Uwanja kuliko wanavyodhania Wao. Itunzeni hii Post yangu kwani sijawahi kusema Jambo na kwa 99.999% lisitimie.Wamchukue tu wanadhani mpira unachezwa mdomoni, nawaona wana timu kali sana, hapa Nugaz pale Manara, lazima kombe la mdomo walichukue, TFF waliandae mapema hiyo ligi ianze.
Watanzania tuwe na ufahamu kidogo, Manara alikuwa mwajiriwa wa Simba, kabebeshwa lawama za uongo katimuliwa. Mlitaka asifanye tena kazi, kumbuka alikuwa anafanya kazi na GSM hata akiwa Simba. Wanamshtumu kwa usaliti, ukiwauliza ni usaliti upi haswa ,hawana majibu. Kazi yake ni usemaji, hata nyie mkiweka tofauti zetu pembeni mkampa mkataba mzuri atarejea.Wengine tulikuja na Threads za kila aina hapa JamiiForums za Kumsema Haji Manara huku tukiwa na Taarifa za Kutosha tu kuwa alikuwa ni Msaliti ndani ya Simba SC tukadharaulika na Kupuuzwa hatimaye leo tumegeuka kuwa ni Mashujaa na huenda hata tunastahili Tuzo za Heshima.
Haya wale wana Simba SC Wanafiki na mliokuwa mkimtetea mno Haji Manara na Kunishambulia / Kutushambulia tuliomshtukia mapema Usaliti wake na Kumkataa je, nanyi Leo hii mtahama nae huko huko Yanga SC au mtabakia Simba SC huku mkipigia Saluti zote The Iron Lady CEO Madame Barbara Gonzalez kwa Ushujaa wake wa Kimafia dhidi ya huyu Mwendawazimu na Mpumbavu?
Hii kitu inashangaza sana usipoiangalia kwa jicho la unazi. Athumani Kihamia kaamua kukaa pembeni ameona ni ujinga.Huu ujinga tulio ufanya Yanga utatugharim sana Yanga, kwani huwezi mwajiri mtu anayeshindwa kuhifadhi siri za taasisi aliyo ifanyia kazi kwani kaeni mkijua kila taasisi ina udhaifu wake.
Najua tulifurahia sana alivyo wavua nguo Simba so kwa ujinga huu tulio ufanya kesho tujiandae na sisi kuvuliwa nguo na kumbukeni Manara kwa sasa haeleweki yupo yupo tu kama sigara kali.
We ndo mwenye ufahamu mdogo pengine kuliko wote. Na huenda hujui miiko ya kazi.Watanzania tuwe na ufahamu kidogo, Manara alikuwa mwajiriwa wa Simba, kabebeshwa lawama za uongo katimuliwa. Mlitaka asifanye tena kazi, kumbuka alikuwa anafanya kazi na GSM hata akiwa Simba. Wanamshtumu kwa usaliti, ukiwauliza ni usaliti upi haswa ,hawana majibu. Kazi yake ni usemaji, hata nyie mkiweka tofauti zetu pembeni mkampa mkataba mzuri atarejea.
Wewe nilishakuzoea na ujinga wako.We ndo mwenye ufahamu mdogo pengine kuliko wote. Na huenda hujui miiko ya kazi.
Sasa kama unasema alikuwa na ajira GSM na Simba SC, iweje kuwa na ajira ya namna hiyo?
Inawezekana vipi kuajiriwa Tigo halafu ukawa na Vodacom?
We mpuuzi sana..Nijibu nilivyokuuliza kulingana na ulivyosema, hakuna anayepinga Haji kufanya kazi Taasisi nyingine kwa weledi na misingi ya kazi, ila je alivyokuwa anafanya kazi, Azam, Simba, GSMwewe nilishakuzoea na ujinga wako.
Huyu mpuuzi bora hata angeenda zake Azam huko! Ila siyo Yanga. Alitukejeli sana mpuuzi mmoja yule enzi akiwa ni mbwatukaji wa mbumbumbi fc.Huu ujinga tulio ufanya Yanga utatugharim sana Yanga, kwani huwezi mwajiri mtu anayeshindwa kuhifadhi siri za taasisi aliyo ifanyia kazi kwani kaeni mkijua kila taasisi ina udhaifu wake.
Najua tulifurahia sana alivyo wavua nguo Simba so kwa ujinga huu tulio ufanya kesho tujiandae na sisi kuvuliwa nguo na kumbukeni Manara kwa sasa haeleweki yupo yupo tu kama sigara kali.