joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Wamezingua sana.Huyu mpuuzi bora hata angeenda zake Azam huko! Ila siyo Yanga. Alitukejeli sana mpuuzi mmoja yule enzi akiwa ni mbwatukaji wa mbumbumbi fc.
Mbaya zaidi, madongo yake yot yalikua yanapiga kwenye mfupa!! Halafu eti leo ni "mwenzetu"!! Wacha tuitwe tu utopolo! Kwa hiki kitendo cha kumkaribisha Haji Manara, kimedhihirisha baadhi ya viongozi wa Yanga wana ubongo wa kuku.
Huyu mpuuzi bora hata angeenda zake Azam huko! Ila siyo Yanga. Alitukejeli sana mpuuzi mmoja yule enzi akiwa ni mbwatukaji wa mbumbumbi fc.
Mbaya zaidi, madongo yake yot yalikua yanapiga kwenye mfupa!! Halafu eti leo ni "mwenzetu"!! Wacha tuitwe tu utopolo! Kwa hiki kitendo cha kumkaribisha Haji Manara, kimedhihirisha baadhi ya viongozi wa Yanga wana ubongo wa kuku.
Ni opportunist bila shaka. Kwake, fedha ndiyo kila kitu! Utu na heshima yake, vinafuatia.Sikutegemea kitu kama hiki kinaweza kutokea.Mpenzi wa Simba ahamie Yanga au wa Yanga kuhamia Simba? Manara atakuwa na roho tofauti sana.
Ni kweli kabisa na kuna mtu anaitwa Gentamycin nae alitukanwa sana humu baada ya kumshtukia yule kirusi,, asee kumbe ni kweli kabisa yule alikuwa ni nyoka.Wengine tulikuja na Threads za kila aina hapa JamiiForums za Kumsema Haji Manara huku tukiwa na Taarifa za Kutosha tu kuwa alikuwa ni Msaliti ndani ya Simba SC tukadharaulika na Kupuuzwa hatimaye leo tumegeuka kuwa ni Mashujaa na huenda hata tunastahili Tuzo za Heshima.
Haya wale wana Simba SC Wanafiki na mliokuwa mkimtetea mno Haji Manara na Kunishambulia / Kutushambulia tuliomshtukia mapema Usaliti wake na Kumkataa je, nanyi Leo hii mtahama nae huko huko Yanga SC au mtabakia Simba SC huku mkipigia Saluti zote The Iron Lady CEO Madame Barbara Gonzalez kwa Ushujaa wake wa Kimafia dhidi ya huyu Mwendawazimu na Mpumbavu?
Kama kweli una akili timamu,naomba unijibu hili swali hapo chini.Nilitukanwa na Kudhihakiwa mno hapa JamiiForums nilipokuwa nikimsema Haji Manara na Usaliti wake mpaka kuitwa chawa wa Mo Dewji na Barbara Gonzalez sasa leo nahitaji mniombe Radhi na ikiwezekana huko huko mlipo tu mnipigie Saluti yangu kwa Maono yangu makali na yaliyotimia Jana kwa Mwendawazimu na Mpumbavu kuhamia rasmi Yanga SC.
Mlitaka akae Bila bila kazi mjini sio?😂Ni kweli kabisa na kuna mtu anaitwa Gentamycin nae alitukanwa sana humu baada ya kumshtukia yule kirusi,, asee kumbe ni kweli kabisa yule alikuwa ni nyoka.
unaenda kushabikia niniThe winner is Haji..
Kulipwa hela kushabikia Yanga ...
Wanagapi wangekataa?
Always Chuki ni hasara.Haya Leo hii unayoita Chuki yangu Kwake imekuwa ni ya Faida au Hasara? Je, niliyoyasema yamethibitika au hayajathibitika? Utabakia hivyo hivyo na Ujuha wako.
Nyie ndio Rage alikuwa anawazungumzia. Huduma aliyekuwa anaitoa kwa Simba ni tofauti na huduma alizokuwa anazitoa kwenye hayo makumpuni mengine. Simba alikuwa msemaji wa club huko kwingine alikuwa siyo msemaji ila kutangaza biashara zao.We mpuuzi sana..Nijibu nilivyokuuliza kulingana na ulivyosema, hakuna anayepinga Haji kufanya kazi Taasisi nyingine kwa weledi na misingi ya kazi, ila je alivyokuwa anafanya kazi, Azam, Simba, GSM
Ni sawa tu kufanya kazi Vodacom, Tigo, Airtel?
Hawa watu ni wajinga sana, yaani walitegemea Haji asifanye kazi tena baada ya kufukuzwa hapo Simba!!.Halafu mjini aishije?Kama kweli una akili timamu,naomba unijibu hili swali hapo chini.
Baada ya Manara kufukuzwa Simba Sc kea tuhuma za usaliti, ulitegemea akae bila kazi Ili uonyeshe mapenzi yake kwa Simba Sc ambayo ilishaonyesha kudharau utumishi wake kwa miaka yote ile?
Ikiwa angeamua kukaa bila kazi Ili akuridhishe wewe na mashabiki wengine wachawi kama wewe, ungewajibika kuihudumia familia yake kwa miaka yote?
Ukifatilia kwa makini, mashabiki wengi wa Simba Sc walitaka jamaa aadhirike Ili waendelee kumcheka, kinachowauma sio yeye kwenda Yanga kinachowauma ni yeye kupata chaka jingine ilihali mlitaka awe ahehae kwakua mliamini kuwa Simba Sc ndo kila kitu kwake.
Upigiwe saluti kwa huu ujinga wako? Manara kwenda kufanya kazi Yanga ndio inathibitisha kua alikua anaisaliti Simba? tumia akili japo kidogo ili usiendelee kujidharaulisha hapa,Nilitukanwa na Kudhihakiwa mno hapa JamiiForums nilipokuwa nikimsema Haji Manara na Usaliti wake mpaka kuitwa chawa wa Mo Dewji na Barbara Gonzalez sasa leo nahitaji mniombe Radhi na ikiwezekana huko huko mlipo tu mnipigie Saluti yangu kwa Maono yangu makali na yaliyotimia Jana kwa Mwendawazimu na Mpumbavu kuhamia rasmi Yanga SC.
Huyo Kihamia kama alikuwa na thamani sana Yanga mchukueni nyinyiHii kitu inashangaza sana usipoiangalia kwa jicho la unazi. Athumani Kihamia kaamua kukaa pembeni ameona ni ujinga.