Wale Wanasimba SC Wanafiki kama Haji Manara na mliokuwa mkimtetea wakati wenye Akili tulishamshtukia mnahama nae au?

Sikutegemea kitu kama hiki kinaweza kutokea.Mpenzi wa Simba ahamie Yanga au wa Yanga kuhamia Simba? Manara atakuwa na roho tofauti sana.
siku hizi hakuna upenzi wala nini kuna kitu kinaitwa (Pesa ,flusi,money ,denge,de largent,Geld,soldi) haya yote ni majina yake kama vile wachezaji katoka Bercelona kanunuliwa Real Madrid lkn tu huyu bwamdogo na huko nako yanga watammtimua subiri Simba wawafunge kiasi mara 2 au 3 uone kama hakutimuliwa aombe Yanga wwwafunge Simba lkn ole wake Simba wwafunge Yangaa.
 
Hawa watu ni wajinga sana, yaani walitegemea Haji asifanye kazi tena baada ya kufukuzwa hapo Simba!!.Halafu mjini aishije?
Mimi sioni kabisa kosa la Hajji na mpaka kiama Haji hatokuja kuwa na kosa juu ya hilo, kwasababu kaenda Yanga baada ya kufukuzwa kwa matusi mazito huko Simba Sc. Sasa sijui watu walitaka akae bila kazi Ili waendelee kumtukana?

Mimi kama shabiki wa Simba Sc na Manara sikupenda alichopitia , ivyo basi namtakia kila la kheri kwenye kazi yake mpya, na mimi nitabaki kuwa Shabiki wa Simba Sc kwa mapenzi.

Ifuke mahalo tuache unafiki, yani mtu akae bila kazi Ili kuwaridhisha mashabiki? Upumbavu wa Hali ya juu kabisa
 
Kwani si alikuwa ana kazi huko kwa GSM , AZAM na Asas ?
Au wewe unaishi nchi isiyo na taarifa muhimu?
 
Mbona wachezaji,makocha,viongozi wanahama?Kwanini isiwe manara?Kama aliyekuwa CEO wa Simba yuko Yanga,inakuwaje ajabu kwa msemaji?
Kikubwa maslahi,mpira ni fedha!
Hapo hakuna cha usaliti wala nini,ni jambo la kawaida kwenyw mpira!
Senzo ni shabiki wa Simba?
 
Kwani si alikuwa ana kazi huko kwa GSM , AZAM na Asas ?
Au wewe unaishi nchi isiyo na taarifa muhimu?
Point yangu itabaki kuwa palepale, as long as alifukuzwa Simba Sc ni haki yake kutafuta sehemu nyingine zaidi ya kujipatia kipato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…