MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
In other words: You cannot negotiate genuine attraction..........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwahahahahaha, nimecheka kama mazuri yaani...........naunga mkono hoja 100%....View attachment 2310461
Apo kwny sura km ya baba yake naomba nikukatalie,tutakomaa na hawa hawa warembo niku hit and runVery true. Mapenzi hayalazimishwi. Bora uwe na manzi ana sura ya baba yake lakini anakupenda kweli, kuliko kuwa na pisi kali halafu haina hisia na wewe
Bado una endelea kumfulia gagulo?Aisee kuna jamaa yangu wa Chugga alijjpatia marks zote 100 kutoka kwa demu mkali aligekuwa na mahusiano na Tajiri hapo Arusha.
Jamaa aliniambia kuwa , mapenzi sio pesa chalii angu. Huyu demu alikuwa na jamaa ana pesa ndefu lakinj kuna vitu alikuwa anavikosa . Mfano chalii alikuwa anamfulia chupi mkewe na kumpa muda wake mwingi pamoja naye. Demu alikiri hivi vitu kwa Matajiri havipo na havipatikani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeandika maandishi marefu yasiyoeleweka.Ur still a learner.
Kanuni inasema vipi.
1. Know what women want.
2. And how to give it to them.
Tatizo lako wewe mtoa mada ni moja.
1. U just know what women want.
BUT
U don't know how to give it to them.
Ndio maana mahusiano yako yame fail.
Kujua tu mwanamke anataka nini haitoshi unatakiwa ujue pia jinsi ya kumpa hicho anacho kitaka...
Kujua jinsi ya kumpa mwanamke kile anacho kitaka ndio tatizo walilo nalo wanaume wengi.
Na hapo sizungumzii pesa tu, hata attention hata dushelele. Na hapo kwenye dushelele ndio kwenye mfano hai.
Kila mwanaume anajua kwamba mwanamke anataka dushelele.
Lakini ni wanaume wachache sana ndio wanao jua jinsi ya kuwapa hilo dushelele ..
Kushindwa kumpa mwanamke anacho kitaka jinsi anavyo takiwa kupewa ni sawa na kutompa kabisa ndio maana unaweza kumpa dushelele jinsi unavyo jua wewe lakini akabaki kusema hujamfanya chochote kwa sababu umeshindwa kumpa jinsi anavyo takiwa kupewa.
So mdogo wangu kaoneka, usijidangaye wala usidanganywe.
Usiache kumuhudumia mwanamke.
Nature ya mwanamke ni kuhudumiwa na kuishi maisha mazuri.
Hata Mungu alimpa KWANZA Adam Eden ( utajiri na kila kitu) kisha ndio akampa mwanamke ( Hawa)
Kwa sababu mwanamke hajaumbwa kuvumilia shida . Nothing will take the place of money in the area in which money works
Beberu mmoja asiyejulikana aliwahi kusema hivi;