Ur still a learner.
Kanuni inasema vipi.
1. Know what women want.
2. And how to give it to them.
Tatizo lako wewe mtoa mada ni moja.
1. U just know what women want.
BUT
U don't know how to give it to them.
Ndio maana mahusiano yako yame fail.
Kujua tu mwanamke anataka nini haitoshi unatakiwa ujue pia jinsi ya kumpa hicho anacho kitaka...
Kujua jinsi ya kumpa mwanamke kile anacho kitaka ndio tatizo walilo nalo wanaume wengi.
Na hapo sizungumzii pesa tu, hata attention hata dushelele. Na hapo kwenye dushelele ndio kwenye mfano hai.
Kila mwanaume anajua kwamba mwanamke anataka dushelele.
Lakini ni wanaume wachache sana ndio wanao jua jinsi ya kuwapa hilo dushelele ..
Kushindwa kumpa mwanamke anacho kitaka jinsi anavyo takiwa kupewa ni sawa na kutompa kabisa ndio maana unaweza kumpa dushelele jinsi unavyo jua wewe lakini akabaki kusema hujamfanya chochote kwa sababu umeshindwa kumpa jinsi anavyo takiwa kupewa.
So mdogo wangu kaoneka, usijidangaye wala usidanganywe.
Usiache kumuhudumia mwanamke.
Nature ya mwanamke ni kuhudumiwa na kuishi maisha mazuri.
Hata Mungu alimpa KWANZA Adam Eden ( utajiri na kila kitu) kisha ndio akampa mwanamke ( Hawa)
Kwa sababu mwanamke hajaumbwa kuvumilia shida . Nothing will take the place of money in the area in which money works