Mkuu ni bora umtoe tongotongo mana huenda ikawa hajajua.Mdau kila mtu ana akili sema labda kama huyo mtu hajitambui..Ila kama unampenda unaweza kumbadili mentality yake. Ndoa ni zaidi ya shape na akili.
Kuna ukweli ndani ya haya uliyoyasema.Mkuu umerusha jiwe gizani ...atakaelalama ujue limempata asee...
Ni kweli wanadhani Shape nzuri ndio kila kitu as if linamsaidia kwenye kufanya maamuzi ya msingi ya kimaisha kumbe upuuzi tu... Sana sana hapo ni kututega sisi wanaume wenye Kipururu a.k.a Ugwadu
Baadae wanamegwa wanaachwa halafu utawasikia '''wanaume sio watu...ooh wanaume wote ni mbuzi..mara sitaki kupendwa tena..Upendo wa Mama unatosha..n.k n.k Hahahahahaha
Mara nyingi wanakuwa vikojozi!Kuna ukweli fulani wanawake waojivunia uzuri wa sura umbo huwa mtihani sana.
Wengi huwa wanafikiria kupendeza tu
Bora mwanamke mwenye akili na heshima.
Embu tupia picha tukuelewe![emoji31]Bora uoe kobe uweke ndani kuliko mwanamke
mwenye shepu kubwa kichwani ana akili za uji wa
ulezi embu fikiria mkizaa watoto wataendeshwa na
hilo shepu la huyo mwanamke alafu alivyokuwa
ana akili kama mbuzi anavyompanda mama yake
utamsikia mashaalaah nimejaliwa shepu, umejaliwa shepu kubwa kichwani huna akili hata konokono
ana shepu ni bora nioe nguruwe niweke ndani
kuliko mwanamke poyoyo..
Thread hii imeji post yenyewe kutoka dubai ikapitia
kisiwani zanzibar mpaka ikafika kwa walegwa dar es
salam kwahisani ya wachaga waishio dar
Leo umefulia nini mkuuu,sion ukimuita muhudumuNaona unashindana na Monicca
Ebu ngoja niweke kigoda changu vzr nione Hii vita mwisho wake