Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakosea sana kusema bora uoe Kobe au nguruwe.Bora uoe kobe uweke ndani kuliko mwanamke
mwenye shepu kubwa kichwani ana akili za uji wa
ulezi embu fikiria mkizaa watoto wataendeshwa na
hilo shepu la huyo mwanamke alafu alivyokuwa
ana akili kama mbuzi anavyompanda mama yake
utamsikia mashaalaah nimejaliwa shepu, umejaliwa shepu kubwa kichwani huna akili hata konokono
ana shepu ni bora nioe nguruwe niweke ndani
kuliko mwanamke poyoyo..
Thread hii imeji post yenyewe kutoka dubai ikapitia
kisiwani zanzibar mpaka ikafika kwa walegwa dar es
salam kwahisani ya wachaga waishio dar
Kuna ukweli fulani wanawake waojivunia uzuri wa sura umbo huwa mtihani sana.
Wengi huwa wanafikiria kupendeza tu
Bora mwanamke mwenye akili na heshima.
Haahha Yani wakimuona kidume lazima wajipitishe mara kibao ilimradi waitweUkiona mwanamke anaringia shape muogope kama ukoma coz ni ishara ya mwanamke ambaye akili hazimtoshi,halafu hua wanapenda kuzurura bila ya sababu za msingi ili watu waone shape
Tair ya gari ndo inabadilishikaa mkuu. Lakn jitu umekutana nalo ukubwani ssmaa Kama unamoyo uvumilie tuuMdau kila mtu ana akili sema labda kama huyo mtu hajitambui..Ila kama unampenda unaweza kumbadili mentality yake. Ndoa ni zaidi ya shape na akili.
ndio tatizo, sikuzote ukinyimwa akili mwili ndio huwa unaumiaWanaoringia shepu inasemekana sehemu zao binafsi ndo zinaumizwa zaidi. Mwishowe wanaishia kuimba ule wimbo mpya wa mjini
"Single mama for life" , All men are the same.
Kisha wanaishia kuweka hashtag