Wale Wanawake Wanaoringia Shepu

Tatizo mnaongea weeee.... lakin vitendo hakuna.
Kuringa suna kwa mtoto wa kike[emoji108]
 
Ulikimbilia shape... Pole sana.. Mla hulwa
 
Umeona eeh? Yani sijui wanakuwa wanawaza kwa kutumia makalio..
 
Alafu wanaume wajanja tumeshawashtukia tu.. Ndimana deile tunawaliza
 
Mwanamke mzuri haolewi ndugu yangu utalia kila siku
 
wanawake wenye shepu wajanja huwa hawaoi ni kwa ajili ya game tu mara nyingi huwa ni vinyumba ndogo tu
Aisee bora tu iwe ivyo kuliko kuingia chakike,
 
Umelenga penyewe mkuu, unawezajua kuwa umepata wa kushauriana mambo ya msingi maishani, kumbe ni upupu mtupu
Ndomana wanaishia kumegwa tu, sasa demu anawaza Starehe 24hrs unadhani kuna maendeleo hapo kweli?
 
Utakuwa umetendwa wewe, kucha kutwa kuwasimanga tu wanawake.
 
Wanaoringia shepu inasemekana sehemu zao binafsi ndo zinaumizwa zaidi. Mwishowe wanaishia kuimba ule wimbo mpya wa mjini
"Single mama for life" , All men are the same.
Kisha wanaishia kuweka hashtag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…