Wale Wanawake Wanaoringia Shepu

Kwani huyo mdada mwenye shepu yuko humu JF??

Na anatambua kwamba hiyo ndo ID yako??
 
Unakosea sana kusema bora uoe Kobe au nguruwe.
Unamkosea sana mwenyezi mungu.

Kila mtu anayo akili,
Kila mtu na jinsi alivyoumbwa,

You better think more.
Koz unaongea upuuzi tu....
[emoji16] [emoji16] [emoji95] [emoji95] [emoji379]
 
Wapo wazuri na wenye shape nzuri na akili zipo njema
 
Ukiona mwanamke anaringia shape muogope kama ukoma coz ni ishara ya mwanamke ambaye akili hazimtoshi,halafu hua wanapenda kuzurura bila ya sababu za msingi ili watu waone shape
Haahha Yani wakimuona kidume lazima wajipitishe mara kibao ilimradi waitwe
 
Oa mama wa wanao si bora mama. Hutakula sura wala shepu yake. Oa mwanamke ambaye hata shuleni kwa mwanao hutaitwa kwa kuwa mwanao ki..la..za. Genes matters a lot and not physiology.
 
Tatizo mnaongea weeee.... lakin vitendo hakuna.
Kuringa suna kwa mtoto wa kike[emoji108]
Aah wapi.., Demu awe anaringa alafu kichwani ziwemo sasa, sio kichwa kimejaa mchwa
 
Tatizo mnaongea weeee.... lakin vitendo hakuna.
Kuringa suna kwa mtoto wa kike[emoji108]
Aah wapi.., Demu awe anaringa alafu kichwani ziwemo sasa, sio kichwa kimejaa mchwa
 
Mdau kila mtu ana akili sema labda kama huyo mtu hajitambui..Ila kama unampenda unaweza kumbadili mentality yake. Ndoa ni zaidi ya shape na akili.
Tair ya gari ndo inabadilishikaa mkuu. Lakn jitu umekutana nalo ukubwani ssmaa Kama unamoyo uvumilie tuu
 
Wanaoringia shepu inasemekana sehemu zao binafsi ndo zinaumizwa zaidi. Mwishowe wanaishia kuimba ule wimbo mpya wa mjini
"Single mama for life" , All men are the same.
Kisha wanaishia kuweka hashtag
ndio tatizo, sikuzote ukinyimwa akili mwili ndio huwa unaumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…