Wale Wanawake Wanaoringia Shepu

Wale Wanawake Wanaoringia Shepu

Unakosea sana kusema bora uoe Kobe au nguruwe.
Unamkosea sana mwenyezi mungu.

Kila mtu anayo akili,
Kila mtu na jinsi alivyoumbwa,

You better think more.
Koz unaongea upuuzi tu....
[emoji16] [emoji16] [emoji95] [emoji95] [emoji379]
Unatetea vichwa maji?
 
Oa mama wa wanao si bora mama. Hutakula sura wala shepu yake. Oa mwanamke ambaye hata shuleni kwa mwanao hutaitwa kwa kuwa mwanao ki..la..za. Genes matters a lot and not physiology.
Umeongea fact tupu mkuu, labda uwaambie wewe ndo watakuelewa
 
Mkuu umetendwa bila shaka.(natania)
Kweli kuwa mzuri wa mwili huku akili ni zero ,uzuri wako sio kitu.
Ila Shep na uzuri ni muhimu boss.
Au umejiopolea dem wako watu wanakusema ninii? Katafute mwenye Shep uweke heshima mjini.
Ha ha ha ....
Kama kweli vile..ila sikuwa na maana hiyo
 
Kazi kweli kweli Leo wenye shepu msome vizuri mjue inawahusu au lah ngoja nasubiria ya sie vimbau mbau
 
Mkuu umerusha jiwe gizani ...atakaelalama ujue limempata asee...

Ni kweli wanadhani Shape nzuri ndio kila kitu as if linamsaidia kwenye kufanya maamuzi ya msingi ya kimaisha kumbe upuuzi tu... Sana sana hapo ni kututega sisi wanaume wenye Kipururu a.k.a Ugwadu

Baadae wanamegwa wanaachwa halafu utawasikia '''wanaume sio watu...ooh wanaume wote ni mbuzi..mara sitaki kupendwa tena..Upendo wa Mama unatosha..n.k n.k Hahahahahaha
Kipururu[emoji23] [emoji23] umenikumbusha mbali sana
 
Back
Top Bottom