Wale wapenda mabasi ya mikoani (wanazi) tukutane hapa

Wale wapenda mabasi ya mikoani (wanazi) tukutane hapa

Jbst

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2020
Posts
1,971
Reaction score
4,085
Kampuni yangu pendwa ni Allys Sport Bus ambayo kwasasa inaitwa Ally Star Bus [emoji93] au unaweza iita (Chungwa [emoji521]). Hii kampuni inajali sana muda. Yaani hawana gari mzaha hata moja, zote ni [emoji91].

Je, wewe kampuni unayoipenda ni kampuni gani?

NB: Wale mnaowaza ajali huu uzi hauwahusu.
 
1678353841762.jpg
 
Nazunguka nchi nzima kwa Basi na hivi ndio hua nafanya.
Dar to Mwanza nawaamini katarama
Dar to kigoma nawaamini Adventure
Dar to Tanga nawaamini Ratco
Dar to Moshi nawaamini kilimanjaro express
Dar to Morogoro nawaamini Abood
Dar to Dodoma nawaamini Shabiby
Dar to Songea nawaamini Superfeo au selou
Dar to Bukoba nawaamini Abood na Happination
Dar to Singida nawaamini ABC safari
Dar to Iringa nawaamini Alsaedy
Dar to Masasi nawaamini Ibra Line
Dar to Mtwara nawaamini Manning Nice
Dodoma To Bukoba nawaamini SATCO
Mwanza to Silari nawaamini Kisire au Zakaria
Mwanza To Bukoba nawaamini Isamilo
Dar to Katoro nawaamini Geita express au Takbiri
Dar to Kasulu nawaamini Takbiri
Dar to Kahama nawaamini Frester
Mwanza to Kahama nawaamini Frester
Kahama to musoma nawaamini kisire
Dar To Tabora nawaamini NBC
Dar to Newala nawaamini Ibra
 
Nakonde to Lusaka nawaamini Power Tools
Lusaka to Harare nawaamini Mazhandu
Harare to South nawaamini Tamuka au munenzwa
Kampala to Beni congo nawaamini Link
Beni To Kisangani nawaamini Nangolu
Kigali To juba nawaamini Trinity
Goma to kigali nawaamini volcano au virunga
Lusaka to Dar nawaamini Royal
Mbeya to Dar nawaamini Sauli au Happination
Tunduma to Dar nawaamini Golden Deer au Newforce
Dar to Sumbawanga nawaamini Newforce
Dar to Mpanda nawaamini Happination na Abood
Dar to Lubumbashi nawaamini Classic
Kisangani to Butembo nawaamini classic
 
Back
Top Bottom